Tundu Lissu: Rais Magufuli hana tofauti na Kikwete, Mkapa kwenye usiri kuhusu madini

Kwa hakika Allah alikuwa na ana kila sababu ya kukuweka hai ingawa sikonge alitaka use kuzimu muda huu.

Ila jambo moja ambalo wengi mlizungumzi, tukitaka haya yote yanayotoke yasiwepo tupiganie uwepo was utawala wa majimbo kila lasirimali itasimamiwa vizuri na jimbo husika na rais hatakuwa na nguvu kama ilivyo sasa
 
Huyo naye
Hivi vipi anafikiri awamu hii atahongwa pesa!!!.. bora anyamaze maana hana nondo bali amebakia kujaribu na kujaribu tu na kutoka bureeee..

Badala ya kuwachunguza wenzake nani haswa walimtenda kuwepo alipo huko. Kila anachoandika kinaishia kilipo chama chake huko ndani ya futi sita..
Naomba uchangie kama hoja iliyotolewa ni kweli au siyo na maoni yako!
 
Bujibuji Hapo kwa Feleshi na Lila kapatia vibaya sana. Yaani madhila ya hawa jamaa mie binafsi nimkutana nayo live zaidi ya mara moja
 
Mkuu hatuko Facebook.. Labda kama Huelewi Misingi ya JF hapa ni hoja Si Vihoja..Kama Mada hujaielewa au huna Ujuzi katika Maswala ya Sheria Soma michango ya Wengine..Ila ni aibu unakua Wa kwanza kuchangia halafu hakuna point..
Yaani inasikitisha, hapo haoni maswala ya kitaifa kabisa, amekaa kichama zaidi!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Angekuwa siyo msaliti angethaminiwa. Sasa msaliti athaminiwe ili iweje?
Wasaliti ni wale waliokuwa wanapiga makofi Bungeni kuruhusu sheria za hovyo za gesi na maliasili kupitishwa kwa hati ya dharua huku mwenyeki wa chama chako nae akishiriki kupitisha hiyo sheria Bungeni.
 
Huyo naye
Hivi vipi anafikiri awamu hii atahongwa pesa!!!.. bora anyamaze maana hana nondo bali amebakia kujaribu na kujaribu tu na kutoka bureeee..

Badala ya kuwachunguza wenzake nani haswa walimtenda kuwepo alipo huko. Kila anachoandika kinaishia kilipo chama chake huko ndani ya futi sita..
Hovyooooo!
 
Na huo ndiyo ukweli yaliyotokea kwenye sekeseke la Kanada na bombadia hatujasahau. Hatuamini kama hao waliozuia ndege zetu data waliziokota...barabarani, pia hatuamini kama hakuna baadhi ya watanzania wasioitakia mema serikali yetu ya awamu ya tano kuwa hawakutoa ushirikiano wa kutosha kuhusu hilo.
Wanao tudai! Kama we kweli wanatudai kwanini tusiweke utaratibu mzuri wa kulipa badala ya kujenga mazingira ya kukwepa?. Kwa kuweka mazingira ya kukimbia wanao tudai tusisahau kuwa tunajenga mazingira salama ya kuibiana sisi kwa sisi.
Eti wanao tudai wasijue!!! Yahani tunapanga namna ya kudhurum?? Taifa la wadhurumaji.......
 
Back
Top Bottom