Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

huyu jamaa anajisumbua bure kukesha anongea hovyo nje ya nchi hakuna haki atakayo ipata akiwa huko hakuna nchi itakayoilazimisha tz ikubali anayoyataka yeye kila nchi inauhur wa kufanya mambo yake bila kuingiliwa hivyo anapoteza muda tu huko aliko ni bora arudi kesi iendelee na huyo dereva wake aje ajibu tuhuma za kutaka kukuua na awataje na wenzie
Sasa kama anajisumbua na nyie mnahangaika nini kumjibu?
 
Mkuu unajifanya hujui mlicho mtendea mheshimiwa Lisu. Mtspata taabu sana.
Nasikia alikula mke wa pedeshee mmoja..jamaa alimuonya kwa heshima zote aachane na mkewe..akaomba baadhi ya wabunge wamsihi..jamaa akajifanya kupe wa mapenzi..kilichofuatia ni ulemavu wa kudumu..sasa kutoka rais wa TLS hadi rais wa chama cha viwete tanzania(chachavita)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Chadema wanategemea milestones kutokana na ushuzi wa Lissu, poor political party. Ni kwa vile hamjawaelewa watanzania, ya Lissu yataongelewa weeee lakini siku akimaliza kutembelea vyombo vya habari vya magharibi na ndiyo itakuwa chapter closed. Hakuna atakayejadili tena. Mbowe alitegemea uprising kutoka kwa wananchi baada ya kuweka ndani kwa uzembe wake lakini siku hizi siyo story tena. Hiyo ndiyo sifa nzuri ya Tanzania na watanzania
Unajidanganya watanzania tunajua kila kinachoendelea na muuaji wa lissu tunamjua. Serikali hii inalazimisha kupendwa lakini kwa kifupi ni kwamba watanzania tumeshaichoka hivi sasa itatawala kwa mabavu lakini kwa sanduku la kura BIG No! Hutaki jinyonge
 
Huyo mkazi ni nani? Je ni chanzo cha kuaminika cha taarifa? Anaweza kuthibitisha bila shaka kuwa zilikuwepo? Na zilitolewa lini. Na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo huwa inasaidia sana kukaa kimya kuliko kuonesha ujuaji. Unaadhirika. Ingawa ni kweli wewe ni kada mwenzangu na tunanena lugha moja ila kuna wakati mpishano upo
 
Kuna mambo huwa inasaidia sana kukaa kimya kuliko kuonesha ujuaji. Unaadhirika. Ingawa ni kweli wewe ni kada mwenzangu na tunanena lugha moja ila kuna wakati mpishano upo
Kada humsaidia kada mwenzie asiadhirike kama hilo huwa lengo sahihi.!
Ninachokitilia shaka ni hizi taarifa za watoa taarifa wa Tundu lissu. Pia najua kuna kada mamluki hivyo usipate taabu sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia alikula mke wa pedeshee mmoja..jamaa alimuonya kwa heshima zote aachane na mkewe..akaomba baadhi ya wabunge wamsihi..jamaa akajifanya kupe wa mapenzi..kilichofuatia ni ulemavu wa kudumu..sasa kutoka rais wa TLS hadi rais wa chama cha viwete tanzania(chachavita)

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu jihadhari na mneno ya kusikia. Je ukisikia kuwa huyo predeshee aliye liwa mke wake ni baba yako utaamini? Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa ulioandika ndio ripoti rasmi ya uchungizi wa vyombo vya dola.
 
Wanaomlisha maneno huyu mtu huko aliko wanafanya kazi yao vema kabisa kuhakikisha anameza kila aina ya Maneno anayoletewa ( ubuyu/ umbea).. hakuwepp Nchini.. ama hayupp Nchini lakini ana taarifa zote za Ikulu, polisi, Bungeni, uraiani.. zote anazo na anazisema kwa uhakika kama vile ameshuhudia..!

Huyu mtu anapojitoa ufahamu na kuropoka kuhusu yeye kushambuliwa asisahau kuwa kuna Askari polisi walishambuliwa kibiti Mchana kweupe na wote ni marehemu sasa, asisahau kuna viongozi wa Ccm walishambuliwa kwa risasi Mchana kweupe huko kibiti sio mmoja wala wawili. Na wengine ni Marehemu, hivyo tukio lake halikuwa na kwanza kushambuliwa wale walikuwa wakiuwawa ni watu pia kama yeye.!
Mbona hatusikii kelele zake akiwauliza polisi walipofikia Uchunguzi wao katika mauaji yale??

Wengine tunakerwa sana na mdomo wake Mchafu juu ya Rais wa Nchi hii, tuhuma zake kwa Rais ambazo bila shaka nyingi hana ushahidi zaidi ya kulishwa umbeo na wapambe wake zinakera na akiendelea n mdomo wake huo mchafu kuna watu uvumilivu utawashinda kitakachufuatia hata yeye anakijua na kukitarajia..

Sent using Jamii Forums mobile app
We bwege huko kibiti CCTV cameras nazo ziliondolewa?
 
ay
Hatimae watanzania wamemjua muuaji. Aisee na anahudhuria kanisani kila jumapili pale st Joseph na kuomba aombewe.Nani amuombee muuaji? Hii dhambi itamgharimu. Mungu siyo Juma
atakayemuombea atapata zambi,,maaskofu wanaojifanyaga kumuombea wana zambi kubwa bora watubu hazarani....mfyuuuuuu!!!!
 
Yaani askari asiende kujisaidia au kutafuta chakula? Maana wanajua fika muda huo wabunge hawarudi sababu wabunge wana canteen nzuri tu..ye lissu walikuwa wanataka kuja kufanya nini nyumbani ye na huyo anayemuita dereva wake kama kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama unalipwa hii sasa maviyakuku.jaribu kutumia akili.
 
Back
Top Bottom