Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

Amerudi kwenye madhehebu yake ya zamani, lazima ajionyeshe ana msimamo mkali wa kiimani kuliko wale aliowakimbia mwanzoni na ambao sasa amewarudia.
Tundu Lissu jamani akili mingi.

Ilikuwa lazima Mwita aoneshe imani ya uccm ya kucharanga watu wapanga kwa agizo la mwenyekiti wao.
 
Needless to say, Waitara was a party to the conspiracy to slay Tundu Lissu and immediately after the incident Waitara moved to ccm and was rewarded with the deputy ministerial post by the late dictator John Pombe Joseph Magufuli.
 
Back
Top Bottom