Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

Hii kauli ya sooner or later take note. Ni vema jambo hili lisingeendelea kuchochewa lakini kwa namna mambavyo linachochewa impact yake itakuwa kubwa sana .
 
Hivi Tundu anaona yupi ni bora, rais dhaifu au dictator uchwara? Rais msafiri sana nje ya nchi au ambae hasafiri. Rais anajua sana kingereza au asiejua. Fisadi papa ua? Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo ningepenada hayajibu. Mi sijamwelewa tangu.
 
Serikali haiwezi kuchomoka kwenye hili sakata la Lissu ukiangalia na maneno aliyokua anaongea Rais kabla ya Lissu kupigwa risasi unaunganisha dot Kwa hiyo Lissu anaongea kitu anachokifahamu
 
Huyu anaongea hadi anapitiliza..mwisho watu watamzoea kuwa ana chuki na magufuli sababu anawanyoosha..
Huwezi kumtuhumu Magu kila kitu wakati kuna taasisi zinazoshughulika.
Huyo Magu atoe oda upelekwe kijijini kwani we huna ndugu..toka lini serikali ikaingilia mtu azikwe wapi..? Kwani kuna ndege inatoka streight from belgium mpaka huko ikungi??
Ndio maana nasema huyu ataongea mwisho watu watamuona mtu aliyepaniki tu..sababu anayoongea ni mengi na mepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni straight ndugu kada, siyo huo upuuzi ulioandika hapo.
 
Kama kweli maendeleo hayana chama kama sio unafiki Lissu ilibidi awe mwanasheria mkuu wa serikali au Jaji atumikie Taifa
 
Huyu anaongea hadi anapitiliza..mwisho watu watamzoea kuwa ana chuki na magufuli sababu anawanyoosha..
Huwezi kumtuhumu Magu kila kitu wakati kuna taasisi zinazoshughulika.
Huyo Magu atoe oda upelekwe kijijini kwani we huna ndugu..toka lini serikali ikaingilia mtu azikwe wapi..? Kwani kuna ndege inatoka streight from belgium mpaka huko ikungi??
Ndio maana nasema huyu ataongea mwisho watu watamuona mtu aliyepaniki tu..sababu anayoongea ni mengi na mepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitegemea amshangilie Jiwe kwa turisasi 38 tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom