Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

Wewe usie kuwa bwege wale wa kibiti hawakuwa Watanzania? Au wao walistahili kuuwawa! Au kujeruhiwa.?
Kutokuwepo kwa Cctv camera kunaondoa ukweli wa madhira yaliyotokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kufa watanzania kila Siku wanakufa.uelewe na scenario ya jaribio la kumuua lissu. Mtu ameshambuliwa kwenye eneo lenye ulinzi wa kutosha na camera za CCTV, kwenye makazi ya naibu spika na mawaziri wa serikali.hilo halikushtui? Hivyo vichwa mnafugia nywele tu ubongo wa kuku
 
sooner or later ukweli utajulikana
Lissu ni mnyama lazima atakuja kumvua mtu mzima nguo hadharani
Ivi Lissu kwanini hajafikiria kwenda kufungua kesi kule ICC? naona ana alternative nyingi sana kumvuruga jiwe
Masiringi anajuta kufanya mjadala na Lissu
 
Wacha azurure weeee akichoka atatulia, we unadhani wazungu wanamuhitaji kichaa!! wao wana akili nzuri kuliko huyo Lissu wanamchora tu, misaada inakuja kama kawa na EU juzi tu wamemwaga mapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia misaada kabisa, unasahau kwamba wewe ni donor country. Sorry to say this, wewe ni jinga.
 
Muujiza ushatokea (16 bullets ), ole kwa wasiotaka kuamini.. Lissu is alive for a reason.
 
Wacha azurure weeee akichoka atatulia, we unadhani wazungu wanamuhitaji kichaa!! wao wana akili nzuri kuliko huyo Lissu wanamchora tu, misaada inakuja kama kawa na EU juzi tu wamemwaga mapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kubwa ni jaribio la kuuawa!!
Au wewe huoni thamani ya maisha ya MTU kama Lisu?


Hivi katika hali ya kawaida ungekua ni wewe ndo umefanyiwa jaribio la kuuawa ungeiona hata siku ya leo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaomlisha maneno huyu mtu huko aliko wanafanya kazi yao vema kabisa kuhakikisha anameza kila aina ya Maneno anayoletewa ( ubuyu/ umbea).. hakuwepp Nchini.. ama hayupp Nchini lakini ana taarifa zote za Ikulu, polisi, Bungeni, uraiani.. zote anazo na anazisema kwa uhakika kama vile ameshuhudia..!

Huyu mtu anapojitoa ufahamu na kuropoka kuhusu yeye kushambuliwa asisahau kuwa kuna Askari polisi walishambuliwa kibiti Mchana kweupe na wote ni marehemu sasa, asisahau kuna viongozi wa Ccm walishambuliwa kwa risasi Mchana kweupe huko kibiti sio mmoja wala wawili. Na wengine ni Marehemu, hivyo tukio lake halikuwa na kwanza kushambuliwa wale walikuwa wakiuwawa ni watu pia kama yeye.!
Mbona hatusikii kelele zake akiwauliza polisi walipofikia Uchunguzi wao katika mauaji yale??

Wengine tunakerwa sana na mdomo wake Mchafu juu ya Rais wa Nchi hii, tuhuma zake kwa Rais ambazo bila shaka nyingi hana ushahidi zaidi ya kulishwa umbeo na wapambe wake zinakera na akiendelea n mdomo wake huo mchafu kuna watu uvumilivu utawashinda kitakachufuatia hata yeye anakijua na kukitarajia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mdomo mchafu basi itakuwa wote, yeye na Mzee wa fenti fodi. Halafu yeye ameamua kujisemea, wewe pia unaweza kuamua kuwasemea hao wa Kibiti.
 
Aache uongo basi! Hizo hadithi anazopewa na wambea wake zinaweza kuwa na matokeo ambayo wala hakuwahi yatarajia kwa watoa taarifa wake.
Kama ni mdomo mchafu basi itakuwa wote, yeye na Mzee wa fenti fodi. Halafu yeye ameamua kujisemea, wewe pia unaweza kuamua kuwasemea hao wa Kibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaongea hadi anapitiliza..mwisho watu watamzoea kuwa ana chuki na magufuli sababu anawanyoosha..
Huwezi kumtuhumu Magu kila kitu wakati kuna taasisi zinazoshughulika.
Huyo Magu atoe oda upelekwe kijijini kwani we huna ndugu..toka lini serikali ikaingilia mtu azikwe wapi..? Kwani kuna ndege inatoka streight from belgium mpaka huko ikungi??
Ndio maana nasema huyu ataongea mwisho watu watamuona mtu aliyepaniki tu..sababu anayoongea ni mengi na mepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo basi likipinduka na kuua au kujeruhi watu dereva asilaumiwe? Acha hizo ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom