Kesho ndio mwisho wa hizi ngonjera..Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
Umeandika nini hiki?Hataki RAIA wabugudhiwe kama ambavyo wewe na Malaya zako msivyobugudhiwa
Hebu soma hizi uelewe. Usikurupuke tu kwa ushabiki WA kishamba.View attachment 1614055Sasa unataka abarikwe wakati uo uo ana mtumia wakili Amsterdam ambaye ameolewa, yeye mwenyewe Lisu ana pambana ili watu wa mapenzi ya jinsia mmoja wasibugudhiwe, Wakati uo uo ana beza Mungu alivyo iponya Tanzania na Corona. Mbona Kama mnaji changanya.
Tundu Lissu ni shujaa na nusu!Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
View attachment 1613969
Yaan hapo ni kwamba ccm na serikali yake wanaforce kwenye uchaguzi huu kushinda kwa nguvu wakati ni jambo lisilowezekana. Hauwezi kumlazimisha punda kupanda kilima kikali kilichoshindikana kwa kumtamanishia majani kisa ana njaa, wakati huo umemkalia juu na kumbebesha mizigo mizito zaidi japo yeye ni mkokota mizigo. Hapo kilichobaki ni punda kukataa utumwa wa kupanda kilima na kulala chini asubiri litalokuwa na liwe. Ccm wanajidangana na msemo wa kijinga eti "ni bora afe lakini mzigo ufike", sasa ni bora mzigo uharibike lakini punda abaki maana yeye akibaki atasaidia kazi nyingine nyingi. Chadema na Lissu kwanza.