Loyalist
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 411
- 894
Ushoga ulianzia huku...
Lesbian, gay, bisexual, and transgender (LGBT) rights
Turudi kwenye mada, huyo jamaa kutetea ushoga ndio ushindi?!
Ushoga ulianzia huku...
Lesbian, gay, bisexual, and transgender (LGBT) rights
Mkuu samahani,unaweza kunipa hili andiko?Kifo ni dhambi. Mauti ni matokeo ya dhambi. Mungu huondoa haraka watu waovu hapa duniani.
Lissu rudi nyumbani waovu wanapukutika kwa mkono wa Mungu kupitia covid 19
Nanyinyi leteni ushahidi wa hao waliopanga mauaji yake. Yote anayoongea Lissu kwenye media za nje huyaoni wala huyaskii? Au unataka ushahidi gani?Lissu is winner na Wapangaji WA mauaji yake ndio hawo washaenda mmebakia nyie walamba nyayo. Mkiambiwa leteni ushahidi WA maneno anayotoa mabaya kwa nchi yake mara ohh nikibaraka mara sijui nini hamna hoja hata moja. Bado bashite na waliopanga udhalimu WAkutaka kumdhulumu uhai wake.
Umeleta habar ya ushoga nami nimekuonyesha uliporuhusiwa hukooo mnakoabudia ili ujue ushoga sio ishu
Lisu mwenyewe ukikomenti tofauti na mawazo yake kule Twitter anakupa block sasa ushindi gani uo.

Mara nyingi jiwe linalokataliwa hugeuka kuwa jiwe KUU LA PEMBENIUnapoteza muda wa kutafuta kipato na familia yako unamuwaza Lissu?
Lissu hata chadema haimtaki, system haimtaki,.Kaa nae kunywa nae chai, acha ujinga
Baada ya msiba Lissu alikuwa na uwezo wa kuwa rais wa nchi badala yake kanunua ugomvi na wafiwa na kasema kafurahia kifo cha JPM
Sio mwanasiasa, kama unadhania kifo ni ushindi, hongera yeye atakayekaa milele
Lissu kashindwa na jamii, kaaibika, aibu kuu
Rais yeyote akifa madarakani akiwa na kila kitu cha kumuweka hai mpaka hata akiwa mstaafu, asitafutwe mchawi kujua kilichosababisha kifo ni Mungu aliyemuweka pale amemuondoa duniani kwa madhambi yake aliyowatendea kondoo wa BWANA aliyehai. Rais au Mfalme aliyeteuliwa na Mungu na kupakwa Mafuta ili awaongoze watu wake kwa haki kama yeye alivyo Mungu wa Haki, akikiuka maagizo toka juu, hakuna uwezo wa Binadamu unaweza kumuokoa toka hasira ya Mungu. Kwa gharama za wanyonge aliokabithiwa na Mungu, Rais wetu mpendwa angeweza kupata Bingwa wa Afya toka popote duniani, Marekani, Uingereza alikowekewa Pacemaker, Japan hata Madagascar, madege yapo. Tegemeo la umri wa kuishi Tanzania ni zaidi ya miaka 60 lakini kwa Rais kufariki katika umri huo badala ya 100, Viongozi wajao wajiepushe kabisa na aina yake ya uongozi ili wapate baraka za Mungu. Ubabe na kiburi Mungu hapendi!Meko kaondoka zake. Kamaliza safari yake ya hapa Duniani. Hakuna anaemhukumu zaidi ya Muumba wa wa yote. Mataga mnahangaika kuchafua watu.
Kifo cha Meko kiwe ni funzo kwetu sote tulio hai. Nasema hivyo kwasababu sote ni mashahidi wa matendo ya wenye mamlaka dhidi ya Wakosoaji wao.
Hebu fikiria mamlaka aliokuwa nayo Meko ulinzi wote ule ubabe wote ule kiburi chote kile na dharau kwa asiowapenda lkn mauti yamemshinda. Tubadilike hatujui siku wala saa.
Haya ni baadhi ya madharaUnapoteza muda wa kutafuta kipato na familia yako unamuwaza Lissu?
Lissu hata chadema haimtaki, system haimtaki,.Kaa nae kunywa nae chai, acha ujinga
Baada ya msiba Lissu alikuwa na uwezo wa kuwa rais wa nchi badala yake kanunua ugomvi na wafiwa na kasema kafurahia kifo cha JPM
Sio mwanasiasa, kama unadhania kifo ni ushindi, hongera yeye atakayekaa milele
Lissu kashindwa na jamii, kaaibika, aibu kuu
Mkuu Waberoya najutia ile kura niliyompa lisu, bora ningekaa nyumbani nifanye mambo mengine Daudi hakuwai kufurahia kifo cha sauli adui yake.Unapoteza muda wa kutafuta kipato na familia yako unamuwaza Lissu?
Lissu hata chadema haimtaki, system haimtaki,.Kaa nae kunywa nae chai, acha ujinga
Baada ya msiba Lissu alikuwa na uwezo wa kuwa rais wa nchi badala yake kanunua ugomvi na wafiwa na kasema kafurahia kifo cha JPM
Sio mwanasiasa, kama unadhania kifo ni ushindi, hongera yeye atakayekaa milele
Lissu kashindwa na jamii, kaaibika, aibu kuu
Watoto wa marehemu Jiwe hawalii Wala kuzimia huku nyinyi mataga mnalia na kuzimia huku mmeshikili a mifuko na juice mkononiLissu ameshinda nini hadi anakimbia nchi? Ameifanyia nini Tanzania zaidi ya kuichafua? Tuwe serious kidogo. Mwandishi wa makala hiyo ni Lissu au kuwadi wake. Sasa anafurahi Magufuli amekufa. Je itamuongezea nini. Natamani arejee nchini aone atakavyopokelewa. Inawezekana waliompiga risasi ni waliokuwa wakijipendekeza kwa Magufuli au hata maadui zake wengine ambao hawana uhusiano na serikali. Wapo wanaosema ni Bashite. Siku moja tutajua ukweli na utatuweka huru.
Not necessarily..Lissu sio mshindi ilibidi anaesemekana kuwa adui yake aishi miaka mingi aone mafanikio ya lissu.