Tundu Lissu ni mshindi

Tundu Lissu ni mshindi

Kwanini akuondolee, si useme yako na uache na uhuru wa wengine. Kwa wengine kama mimi, mada hapo juu ni kulazimisha attention tu ili kushindana na attention anayopewa marehemu. Huo ni mtazamo wangu. Na ni mtazamo wangu pia, kama mtu anatamani sana attention ya aliyelala mauti na yeye afe atapewa stahili yake.
Poumber
 
Ombea adui yao aishi miaka mingi, ili utakapo barikia ajionee kwa macho.amna hata kabisa afe kabla hajaona baraka zake mungu ameweka mbele yako.

Lissu sio mshindi ilibidi anaesemekana kuwa adui yake aishi miaka mingi aone mafanikio ya lissu.
Je lissu akifanikiwa kweli nani ataona sasa?
 
Mwenye Haki hutamalaki na kuishi Milele. Mungu amedhihrisha hili ktk nyakati zetu. Tumezoea miujiza ya kusimuliwa ya Musa na Ibrahimu.
 
Inafurahisha sana adui anapopita pale alipokupitisha.
Ombea adui yao aishi miaka mingi, ili utakapo barikia ajionee kwa macho.amna hata kabisa afe kabla hajaona baraka zake mungu ameweka mbele yako.

Lissu sio mshindi ilibidi anaesemekana kuwa adui yake aishi miaka mingi aone mafanikio ya lissu.
Je lissu akifanikiwa kweli nani ataona sasa?
 
Unapoteza muda wa kutafuta kipato na familia yako unamuwaza Lissu?

Lissu hata chadema haimtaki, system haimtaki,.Kaa nae kunywa nae chai, acha ujinga

Baada ya msiba Lissu alikuwa na uwezo wa kuwa rais wa nchi badala yake kanunua ugomvi na wafiwa na kasema kafurahia kifo cha JPM

Sio mwanasiasa, kama unadhania kifo ni ushindi, hongera yeye atakayekaa milele



Lissu kashindwa na jamii, kaaibika, aibu kuu
Kuna mtu jana tu kashindwa. Amelala juu ya udongo.
 
Lissu ameshinda nini hadi anakimbia nchi? Ameifanyia nini Tanzania zaidi ya kuichafua? Tuwe serious kidogo. Mwandishi wa makala hiyo ni Lissu au kuwadi wake. Sasa anafurahi Magufuli amekufa. Je itamuongezea nini. Natamani arejee nchini aone atakavyopokelewa. Inawezekana waliompiga risasi ni waliokuwa wakijipendekeza kwa Magufuli au hata maadui zake wengine ambao hawana uhusiano na serikali. Wapo wanaosema ni Bashite. Siku moja tutajua ukweli na utatuweka huru.
Herode amekufa Lissu anaweza kurudi nyumbani
 
Kifo ni dhambi. Mauti ni matokeo ya dhambi. Mungu huondoa haraka watu waovu hapa duniani.

Lissu rudi nyumbani waovu wanapukutika kwa mkono wa Mungu kupitia covid 19
Hasa wale wanne kwenye ile picha. 😅😅😅
 
Ukisimamia ukweli Mungu hukuongoza unaweza hata ukapigwa RPG na usiwe.
Tundu Lissu wananchi walimwelea na kumkubali shetani akafurahia ushindi haramu wa damu akadhani ni ushindi. Mpaka sasa Lissu 3- jpm 0
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Watu tumelala kwa shida kweli hapa Chato wewe mwenzetu umelala mpaka unaota?
 
Lissu hayupo sawa na kinachosikitisha huko kutokuwa sawa ndio kunampa umaarufu na tokea hili shambulio la risasi ndio limezidisha unaona kabisa Lissu hayupo sawa anahitaji msaada zaidi ya huo wa matibabu ya kimwili anayopata sasa, ila bahati mbaya wengi hawaoni hili wao wanamsifia tu kumbe mwenzao ana tatizo.
 
Nabii Eliya alimkimbia Malikia Yezebeli ambaye alitaka kumuua kisa na mkasa alikuwa mkosoaji mkubwa wa ufalme wake, na hakutaka kuungana naye. Baadaye Eliya alirudi akawaangamiza majeshi ya manabii bandia wa Yezebeli
Nabii Daudi alikimbia Yerusalemu akimkimbia Mwanaye Absalomu ambaye alitaka kumpindua. Baadaye Daudi alirejea na kuikomboa nchi yake.
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Neno la Mungu li-hai daima.
 
Back
Top Bottom