Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

Kwanini unatumia nguvu kubwa namna hii kueleza chuki zako binafsi dhidi ya watu wengine? kama hana akili aliwezaje kupata masters? wacha poroja za kipumbavu wala hazikujengei!

radhia sweety=rizia utamu wa elimu bora ya mh Tindu lisu .
 



Mkuu Shossi, kitendo cha mtu kushindwa kupinga hoja kwa hoja ni kipimo cha mtu kuwa mweupe, na mtu mweupe (kukosa upeo mkubwa wa kuchambua mada) mara nyingi huhusanishwa na kukosa elimu, elimu kwa kutoona mbali, elimu huleta maarifa na maarifa huleta hekima na hekima huleta hofu ya Mungu na hofu ya Mungu humfanya mtu kuwa mkweli.
 
hivi kazaa kweli?
 
Lisuuuuuuuuuu!
Komaa nao jombaaa!
Usiwaache wapumue ili tuone jinsi wanavyoweweseka!
Hah hah hah! Watasema mengi sana. Najua hawataki 2015 ifike haraka!
 
cha kusikitisha, anweza wala asilizwe chochote, kuchukuliwa nay hatua sanasana atapongezwa tu
 
Hivi ukiwa na elimu ya juu ndio unakuwa mtu makini..Anderson Cooper wa CNN ana degree kachukuwa Yale University halafu ni shoga.

Teh teh teh...hivi kipi kinatangulia kati ya kukosa umakini na ushoga?Is there any correlation on the two?
 
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Jambiani Primary SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Makunduchi Secondary SchoolSecondary Education19681969SECONDARY

Jambieni

Makundu


hayo majina ya shule tu yanaakisi uwezo wake wa kufikiri jinsi ulivyo wa kimasaburi masaburi.
 
Yan Jembe Lissu anamsaidia yeye haoni? Huyu mbunge hamnazo kabisa wazanzibari hawataki muungano kwa kuwa tume wafanya kama koloni. Muungano huo ana utaka yeye na CCMwabepande!
 
Hawa ndo wanafiki wenyewe, akiwa zanzibar muungano hatuutaki akiwa bara wanautaka muungano hamna lolote hapo zaidi ya kutunisha matumbo yao tu
 
ufitini wa tl upo wapi?, kuhoji alipo kasim hanga na wenzake ni ufitini? Basi kama ni ufitini ni fitna ya kheri.
 
Ni aibu sana kama hatujajua kuwa kiwango cha elimu ni moja ya vipimo vya kiwango cha uelewa wa mtu. Tunaweza kupendekeza vigezo vingine zaidi ya elimu, lakini kiwango cha elimu ni kipimo kisicho hitaji kubishaniwa
 
Ukishaona mtu anaanza kutukana na kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mtu mwingine badala ya kujibu hoja zilizotolewa na basi ujue hoja zote zilizotolewa ni za kweli.

Hakuna kitu rahisi duniani kama kutoa kashfa na matusi kwa sababu hauhitaji kutumia akili kumtukana mtu.
 
Serikali hii ya Magamba iweke wazi walipo Kasim Hanga na wenzake, kama walikufa tuelezwe walikufa kifo gani, walizikwa wapi, si vema kumshambulia TL kwa jambo linalohitaji maelezo ya kina kutoka serikalini. TL TUPO PAMOJA PANAPO MAJALIWA 2015 SI MBALI, WATASEMA YOTE WAKATI HUO.
 
. Sasa unashangaa nini wakati ndo kazi aliyotumwa kufanya? Vua gamba vaa gwanda
 
Zipo taarifa zisizo na shaka hata kidogo kwamba tobo lissu amewahi kuwa kichaa/kuwehuka
 
Yani zee lote hili na umri wake linavuta bangi? hii ni aibu sana, basi mshaurini hata kama anavuta angoje zikauke kidogo zitakuwa hazina madhara makubwa jamani ..


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…