Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

Kwanini unatumia nguvu kubwa namna hii kueleza chuki zako binafsi dhidi ya watu wengine? kama hana akili aliwezaje kupata masters? wacha poroja za kipumbavu wala hazikujengei!

radhia sweety=rizia utamu wa elimu bora ya mh Tindu lisu .
 
Radhia Sweety,

Mimi sifikirii eti mtu akiwa na degree basi ana akili nyingi sana tuseme ukweli hivi mbona kuna vichwa vinakubalika humu jf lakini havina hata hoyo diploma? mfano gonga hapa Parliament of Tanzania

sasa iweje leo hii mtu akisema kitu mnakimbia hajasoma au hana elimu? hao wenye elimu si walizaliwa na wasio na elimu? je baada ya kupata hizo elimu zao hawakuwasikiliza wazee wao kwa kuwa hawana elimu? agrrrrrrrrrrrrrrr



Mkuu Shossi, kitendo cha mtu kushindwa kupinga hoja kwa hoja ni kipimo cha mtu kuwa mweupe, na mtu mweupe (kukosa upeo mkubwa wa kuchambua mada) mara nyingi huhusanishwa na kukosa elimu, elimu kwa kutoona mbali, elimu huleta maarifa na maarifa huleta hekima na hekima huleta hofu ya Mungu na hofu ya Mungu humfanya mtu kuwa mkweli.
 
Mheshimiwa sana mama Makinda sijui huwa anafikirije. Ikiwa mbunge wa Chadema anatukanwa na wa CCM hakuna cha kuomba utaratibu wala muongozo - watu wanatakiwa watulie na kusikiliza. Ikiwa wa CCM ndio anasemewa mbovu na upinzani utamwona anavyokuwa mkali "tafadhali mheshimiwa so and so futa kauli yako". Yaani upendeleo nje nje kama mama wa kambo mwenye roho mbaya.................
hivi kazaa kweli?
 
Lisuuuuuuuuuu!
Komaa nao jombaaa!
Usiwaache wapumue ili tuone jinsi wanavyoweweseka!
Hah hah hah! Watasema mengi sana. Najua hawataki 2015 ifike haraka!
 
cha kusikitisha, anweza wala asilizwe chochote, kuchukuliwa nay hatua sanasana atapongezwa tu
 
Hivi ukiwa na elimu ya juu ndio unakuwa mtu makini..Anderson Cooper wa CNN ana degree kachukuwa Yale University halafu ni shoga.

Teh teh teh...hivi kipi kinatangulia kati ya kukosa umakini na ushoga?Is there any correlation on the two?
 
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Jambiani Primary SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Makunduchi Secondary SchoolSecondary Education19681969SECONDARY

Jambieni

Makundu


hayo majina ya shule tu yanaakisi uwezo wake wa kufikiri jinsi ulivyo wa kimasaburi masaburi.
 
Yan Jembe Lissu anamsaidia yeye haoni? Huyu mbunge hamnazo kabisa wazanzibari hawataki muungano kwa kuwa tume wafanya kama koloni. Muungano huo ana utaka yeye na CCMwabepande!
 
Hawa ndo wanafiki wenyewe, akiwa zanzibar muungano hatuutaki akiwa bara wanautaka muungano hamna lolote hapo zaidi ya kutunisha matumbo yao tu
 
suala ni kupima maneno yake kuwa tundu lisu ni mfitini na mtu asiye na akili kama yana ukweli wowote. Kutuletea elimu yake hapa haitasaidia kumfanya tundu lisu kuwa na akili au kuwa siyo mfitini. Hili suala la elimu ya huyu mheshimiwa linatakiwa lianzishiwe mjadala mwingine ambao hauna uhusiano wowote ule na maoni aliyotoa juu ya tundu.
ufitini wa tl upo wapi?, kuhoji alipo kasim hanga na wenzake ni ufitini? Basi kama ni ufitini ni fitna ya kheri.
 
Ni aibu sana kama hatujajua kuwa kiwango cha elimu ni moja ya vipimo vya kiwango cha uelewa wa mtu. Tunaweza kupendekeza vigezo vingine zaidi ya elimu, lakini kiwango cha elimu ni kipimo kisicho hitaji kubishaniwa
 
Ukishaona mtu anaanza kutukana na kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mtu mwingine badala ya kujibu hoja zilizotolewa na basi ujue hoja zote zilizotolewa ni za kweli.

Hakuna kitu rahisi duniani kama kutoa kashfa na matusi kwa sababu hauhitaji kutumia akili kumtukana mtu.
 
Serikali hii ya Magamba iweke wazi walipo Kasim Hanga na wenzake, kama walikufa tuelezwe walikufa kifo gani, walizikwa wapi, si vema kumshambulia TL kwa jambo linalohitaji maelezo ya kina kutoka serikalini. TL TUPO PAMOJA PANAPO MAJALIWA 2015 SI MBALI, WATASEMA YOTE WAKATI HUO.
 
Mheshimiwa sana mama Makinda sijui huwa anafikirije. Ikiwa mbunge wa Chadema anatukanwa na wa CCM hakuna cha kuomba utaratibu wala muongozo - watu wanatakiwa watulie na kusikiliza. Ikiwa wa CCM ndio anasemewa mbovu na upinzani utamwona anavyokuwa mkali "tafadhali mheshimiwa so and so futa kauli yako". Yaani upendeleo nje nje kama mama wa kambo mwenye roho mbaya.
. Sasa unashangaa nini wakati ndo kazi aliyotumwa kufanya? Vua gamba vaa gwanda
 
Zipo taarifa zisizo na shaka hata kidogo kwamba tobo lissu amewahi kuwa kichaa/kuwehuka
 
Yani zee lote hili na umri wake linavuta bangi? hii ni aibu sana, basi mshaurini hata kama anavuta angoje zikauke kidogo zitakuwa hazina madhara makubwa jamani ..


Mbunge wa CCM kutoka Magomeni, Zanzibar aliyemwita Tundu Lissu ni MFITINI na ASIYE NA AKILI TIMAMU.

Kwa jina anaitwa Muhammad Chomboh. Nawahurumia sana watoto wake na familia yake kwa ujumla, SHAME!!!.


faf95016-f906-4451-8588-918e689bc430.jpg


EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Jambiani Primary SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Kusini Primary SchoolPrimary Education19641967PRIMARY
Makunduchi Secondary SchoolSecondary Education19681969SECONDARY
Institute of Finance Management (Dar Es Salaam)Diploma19791981DIPLOMA

++>Mbunge wa Magomeni (CCM), Muhammad Amour Chomboh, alisema maneno yaliyotolewa na Lissu ni ya ufedhuli.
“Napenda kumfahamisha yeye (Lissu) pamoja na wengi walio humu ndani wenye mawazo mgando kama yeye na waliokuwapo nje ya jumba hili, Zanzibar sio koloni la Tanganyika na halitakuwa hata siku moja koloni la Tanganyika. Na mheshimiwa Lissu Agosti 8 mwaka huu, alizungumza huyu kuhusiana na mambo ya Muungano kuchangia katika hotuba ya Muungano akajaribu kuwataja viongozi, ambao ni victim (waathirika) wa Muungano, ambao ni muongo na mnafiki,” alisema.
Aliongeza: “Nataka kumwambia kuwa Wanzanzibari hawatakubaliana na mpuuzi yoyote na uozo wowote, ambao umezungumzwa hapa kwa minajili ya kutaka kutugombanisha,” alisema.
Alipotaka kuendelea, alikatishwa na Lissu aliyekuwa akiomba utaratibu.
Kwa mara nyingine, Lissu alisimama akitaka kutoa taarifa hata hivyo, lakini Spika wa Bunge, Anne Makinda, aliingilia kati na kuwataka wabunge wote kuwa wavumilivu na kisha kumruhusu Chomboh kuendelea kuchangia.
From: Home ++<

Shule yenyewe inatia huruma......... Sasa kila kitu wazi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom