Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sikonge, Aug 16, 2012.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa CCM kutoka Magomeni, Zanzibar aliyemwita Tundu Lissu ni MFITINI na ASIYE NA AKILI TIMAMU.

  Kwa jina anaitwa Muhammad Chomboh. Nawahurumia sana watoto wake na familia yake kwa ujumla, SHAME!!!.


  [​IMG]

  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
  [TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
  [TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
  [TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
  [TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Jambiani Primary School[/TD]
  [TD="align: center"]Primary Education[/TD]
  [TD="align: center"]1960[/TD]
  [TD="align: center"]1963[/TD]
  [TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Kusini Primary School[/TD]
  [TD="align: center"]Primary Education[/TD]
  [TD="align: center"]1964[/TD]
  [TD="align: center"]1967[/TD]
  [TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Makunduchi Secondary School[/TD]
  [TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
  [TD="align: center"]1968[/TD]
  [TD="align: center"]1969[/TD]
  [TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Institute of Finance Management (Dar Es Salaam)[/TD]
  [TD="align: center"]Diploma[/TD]
  [TD="align: center"]1979[/TD]
  [TD="align: center"]1981[/TD]
  [TD="align: center"]DIPLOMA

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [FONT=ArialMT, sans-serif]++>Mbunge wa Magomeni (CCM), Muhammad Amour Chomboh, alisema maneno yaliyotolewa na Lissu ni ya ufedhuli.[/FONT]
  “[FONT=ArialMT, sans-serif]Napenda kumfahamisha yeye (Lissu) pamoja na wengi walio humu ndani wenye mawazo mgando kama yeye na waliokuwapo nje ya jumba hili, Zanzibar sio koloni la Tanganyika na halitakuwa hata siku moja koloni la Tanganyika. Na mheshimiwa Lissu Agosti 8 mwaka huu, alizungumza huyu kuhusiana na mambo ya Muungano kuchangia katika hotuba ya Muungano akajaribu kuwataja viongozi, ambao ni victim (waathirika) wa Muungano, ambao ni muongo na mnafiki,” alisema.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Aliongeza: “Nataka kumwambia kuwa Wanzanzibari hawatakubaliana na mpuuzi yoyote na uozo wowote, ambao umezungumzwa hapa kwa minajili ya kutaka kutugombanisha,” alisema.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Alipotaka kuendelea, alikatishwa na Lissu aliyekuwa akiomba utaratibu.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa mara nyingine, Lissu alisimama akitaka kutoa taarifa hata hivyo, lakini Spika wa Bunge, Anne Makinda, aliingilia kati na kuwataka wabunge wote kuwa wavumilivu na kisha kumruhusu Chomboh kuendelea kuchangia.[/FONT]
  From: Home ++<

  Shule yenyewe inatia huruma......... Sasa kila kitu wazi.
   
 2. oxlade

  oxlade JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hakuna jipya hapo, kajpange mtoa mada
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Siku zote ukiona povu ujue umegusa penyewe....
   
 4. L

  Lorah JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  duh Mheshimiwa hiyo ya secondary ilikuwaje mbona naona mwaka mmoja tu?? hebu ntafute miwani kwanza nitarudi.
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hata mrevi tutamsikiliza tu, sisi sio viziwi.
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Suala ni kupima maneno yake kuwa Tundu Lisu ni mfitini na mtu asiye na akili kama yana ukweli wowote. Kutuletea elimu yake hapa haitasaidia kumfanya Tundu Lisu kuwa na akili au kuwa siyo mfitini. Hili suala la elimu ya huyu Mheshimiwa linatakiwa lianzishiwe mjadala mwingine ambao hauna uhusiano wowote ule na maoni aliyotoa juu ya TUNDU.
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa. Na hapo ndiyo utajua kwa nini VIJIBWA vidogo hubweka sana.

  Nguvu ya SODA huwa ya muda mfupi tu. Ukimwacha afuke moshi wake, unagundua alivyo MWEUPEE.

  Sasa yeye ndiyo wamemzodoa LIVE. Hatari sana. Chezea WanaSheria wa ukweli wewe.....
   
 8. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa sana mama Makinda sijui huwa anafikirije. Ikiwa mbunge wa Chadema anatukanwa na wa CCM hakuna cha kuomba utaratibu wala muongozo - watu wanatakiwa watulie na kusikiliza. Ikiwa wa CCM ndio anasemewa mbovu na upinzani utamwona anavyokuwa mkali "tafadhali mheshimiwa so and so futa kauli yako". Yaani upendeleo nje nje kama mama wa kambo mwenye roho mbaya.
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  wewe utakuwa sijui usiku wa leo wamekumwagia vingapi!
  Maana mpaka umechizi kabisa na kuropoka ovyo humu.
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chomboh ni Mbunge wa Magomeni ipi, Kagera, Makanya au Mapipa?
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu habari yako,

  Kuwa na elimu ya juu zaidi ya mwenzio haina maana wewe una akili kuliko ambae hajasoma level yako! Mfano mdogo mimi wazee wapo ambao hawajasoma na wapo waliosoma elimu ya juu zaidi lakini wanawaheshimu wazee (mama yao na ndugu wa marehemu baba yao) licha hawakusoma.

  Kuna ndugu yangu mmoja anasomea masuala ya fisheries ameenda kuchukua masters yake eti ameenda kusoma akitupa mshipi samaki akikamata ndoana aweze kutambua huyu ni samaki wa aina gani kabla ya kumuibua! wakati wazee wasio na elimu wa ukerewe wanajua hili bila ya kusoma darasani. Wazee wa chongoleani na mwarongo wanajua kama aliekamata ndoana ni tasi au chafi lakini mtu anaenda kusoma ili aelewe.

  Kusoma sio akili kaka hata ahao unaowapigia chepuo wapo ambao elimu zao ni za kuunga unga.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kumjadili mtu, lazima kwanza umfahamu kwa undani wake.

  Si kuwa nadharau watu wasio na elimu ya Chuo Kikuu, hapana.

  Ila mtu akinipa sababu, basi ntataka sana kumfahamu kwa ndani.

  Ndiyo maana watu humshangaa Mzee wa Visenti (Chenge) kuwa pamoja na elimu yake nzuri, kalisaidia nini taifa?

  Ndiyo maana huwa tunamshambulia Mwigulu kuwa pamoja na kuwa Mchumi daraja la kwanza, kalisaidia nini taifa?

  Tukishamkuta mtu MTUPU, basi tunamuonea HURUMA.
   
 13. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,310
  Likes Received: 3,079
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa alimaliza primary school, akaenda sekondari miaka miwili - form one na form two, na ku-qualify kusoma IFM??? Ina maana Wazanzibar walikuwa wanafanywa "special cases" katika ku-qualify nini?
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nafikiri swala la elimu nimelijibu hapo juu.

  Elimu ni kama CHUMVI tu kwenye chakula. Ikikosekana na una njaa, utakula tu hivyo hivyo.

  Huyu jamaa nilitaka kujua tu elimu yake. Baada ya kuiona na kuunga na maneno anayosema, basi nimeshapata jibu.

  Hapa swala si elimu bali ni MATUSI aliyomrushia Tundu Lissu na jana kaumbuliwa kama Mama la Majungu la Mtaa.

  Yaani Tundu Lissu kashusha nondo nzito hadi wake za Wabunge waliomtukana Lissu watawacheka.


   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Radhia Sweety,

  Mimi sifikirii eti mtu akiwa na degree basi ana akili nyingi sana tuseme ukweli hivi mbona kuna vichwa vinakubalika humu jf lakini havina hata hoyo diploma? mfano gonga hapa Parliament of Tanzania

  sasa iweje leo hii mtu akisema kitu mnakimbia hajasoma au hana elimu? hao wenye elimu si walizaliwa na wasio na elimu? je baada ya kupata hizo elimu zao hawakuwasikiliza wazee wao kwa kuwa hawana elimu? agrrrrrrrrrrrrrrr
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mohammed Shossi hebu tusaidie hapa.
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu, AKILI unazaliwa nazo. Au na mie ni KIHIYO kwa hilo?

  Najua unaelewa ninataka kusema nini ila unajifanya kama vile huoni. Agrrrrrrrrrr!!!!!!
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa CCM kutoka Magomeni, Zanzibar.
   
 19. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kila chenye mwanzo kina mwisho, na muungano hivyohivyo.
   
 20. C

  CAY JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa sisi tuliosoma nahao enzi hizo tunakumbuka tulifundishwa kuwa " debe tupu haliachi ............?
   
Loading...