Unapotaka kuchambua maoni ya mtu ni kawaida kumfahamu wasifu wake. Hii inasaidia kujua upeo wake unakomea wapi. Anaweza kueleweka zaidi tukijua kiwango chake cha elimu. Ndiyo maana tunanukuu usemi au falsafa ya Prof au Jaji fulani lakini hatunukuu usemi wa vihiyo.