Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kwa hulka za TL ni bora Mara 100 abaki Magufuli kwa sababu kwa hulka za TL sio tu kwamba atakuwa dictator uchwara bali ni dictator haswa. Tuachane na kutafuta rais kwa sababu tu tunataka fulani aondoke hapana bali tutafute rais wa kuongoza taifa, ni rahisi sana kumshauri Magufuli na sio TL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hana vigezo vya kubaki hatuwezi kubaki za eti kwa sababu tunamuogopa lissu
 
Mkuu Pascal, wewe kweli ni mchochezi wa mchokonoaji wa mada mujarabu! Kwa thread hii huyu "Homeboy" wako umempiga madongo ya kiukweli haloooh!

Mimi nimekuelewa vizuri sana kwamba Toto Tundu pekee ndo mwenye ubavu wa kumkabili Jiwe kwa sasa hapa Tanzo!

Kama kuna mtu anabisha basi waombe Jumuia za Kimataifa ziandae MDAHARO WA JIWE NA TOTO TUNDU mbele ya Camera za BBC Hard Talk na atakaye endesha mdaharo huo awe Gwiji Steve kwa Ung'eng'e.......!!! Baada ya hapo Mdaharo mwingine uhamie VOA Africa News mbele ya Gwiji Shaka Ssali na wamalizie kwa studio za DW Swahili service mbele ya Mtangazaji Mtz Mzenj Ustaadhi .......na huo uwe mdaharo pekee utakao endeshwe kwa Kiswahili.

Nina hakika baada ya midaharo hiyo 3 watu wanaweza kuona nnani hasa anafaa kuwa Rais kati ya Tototundu na Jiwe! Kusema tu kuwa TAL hana sifa za kuwa Rais si sahihi hata kidogo maana Rais Magufuli a Teacher by professional alipokuwa picked at random, nobody expected he can make a good President.....!!!! If that was the case to Magufuli then it'll be the same to Tundu Antipas Lissu, currently a very brilliant Lawyer in Tanzania...!!!
 
Subiri uone CDM 2020 watamsimamisha nani utashangaa, wale jamaa kuna muda unaona wana akili alafu kuna muda unajiuliza zimeenda wapi, walifanya hivyo kwa Lowassa, subiri 2020 uone watakavyotuabisha, wanaweza mrudisha Lowasa tena, Lissu anaweza kuleta serious competition ila ajiangalie sana kuna baadhi ya kauli anatoa sasa hivi wabongo walivyo utaanza kusikia lissu ni kibaraka wa wazungu, na wote tunajua wabongo wanavyochukia wazungu.
mkuu..uliyotabiri yametimia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo2015,
Dooh! Ni ngumu sanah kuamin ilah ndo Hali halisi
Yani una mjaji mtu kuwa raisi kwa uwezo wa kuongea na kujieleza ? Eti waende BBC wahojiwe na suncker tuone Nani mkali?

Are you serious!!!!?

bro uraisi Ni taasisi, ndio inayoonyesha mwelekeo wa Maisha ya watu kwa Sasa na badae hata baada ya serikali ya Sasa kupita!! Na raisi ndio huongoza hiyo taasi kinachongaliwa sio uwezo wa kuongea bro kwa kingereza!! In fact fuatilia anachoongea lisu Ni nn hata kabla ya yy kushambuliwa?

Napata wasi wasi labda sometimes tuna argue na watoto wa shule ambao bado uwezo wa kufikiri unakua!!
 
This country can not afford a crippled commander in chief ! Na hatari ni kwamba TL will put foward revenge against JPM and his party ahead of peoples development as he indicts him for failed assassination attempt. Look at the way he is angrily expressing himself in the western media, hata hao wa marekani wanamchora tuu they are not stupid they know this country inside out. Asidhani anachowaeleza wao hawajui!! CIA spies are everywhere around the world and they know many things about us and the country. Kumbuka Morgan Tsvangirai wa ZIMBABWE ilikuaje mpaka wakamdump ending up dying lonely in SA ! Leo hii they want to catapult Juan Gwaido to president of Venezuela sio kwa vile wanampenda na wanawahurumia wavenezuela but because they want regime change and he looks a man to carry their agenda. What they want ni mafuta ya Venezuela! So the they what to introduce havoc in the oil rich nation so they can keep nationals busy fighting while they siphon the liquid gold !

I have never seen Juan Guado parading the corridors of Washington or London media outlets and academic institutions trumpeting the ills of president Maduro as TL is doing for JPM (may be you will argue he hasn't been riddled by 16 bullets) but yet the Americans have spotted him (he is speaker of the opposition led parliament in Venezuela, TL is chief Whip of opposition in our parliament) for the regime change they want.

You put it correctly TL is no different from JPM, he can be even worse ! I remember back in time in JKT I happened to serve with him at Mafinga National Service camp in the late eighties he had the same rhetoric and occasionally we were punished unnecessarily because of his arrogance! When we were at Dar Varsity he went to become DARUSO president, look at how he was pulled down unceremoniously! Because of his extremism! LEADERSHIP IS ENDOWMENT. These are personal views not aligned to any political party.
 
Kwa hulka za TL ni bora Mara 100 abaki Magufuli kwa sababu kwa hulka za TL sio tu kwamba atakuwa dictator uchwara bali ni dictator haswa. Tuachane na kutafuta rais kwa sababu tu tunataka fulani aondoke hapana bali tutafute rais wa kuongoza taifa, ni rahisi sana kumshauri Magufuli na sio TL

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umejuaje wakati Lissu hajawahi kuongoza serikali? Kwenye Chama anashauriwa anakubali na anaheshimu maamuzi ya Chama!

Huu uongo umeujuaje? Justify your allegations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waminepo, Akili za CCM bhana, yaaaani mnawabagua walemavu kiasi hiki?

Disability does not mean inability. Yaaaani mumpige risasi halafu mseme nchi haiwezi kuwa na rais kiwete!!!!

Kumbe ndiyo maana mlimpiga ili sifa zipungue? Na jambo la ajabu Chama cha watu wenye ulemavu kiko kimya tu kuhusu kutolea tamko swala hili

Admins please ubaguzi huu una irritate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waminepo,
Mkuu Waminepo, thanks very much for this very objective contribution, which is a very good analysis.
Opinions with such objectivity, ndizo zitalikomboa taifa hili kutoka hapa tulipo tufike kule tunakotakiwa kwenda.
Thanks.
P
 
Porojo nyingi na mbwembwe za ccm ni kwamba hawahitaji kura hata moja kushinda uchaguzi wanachohitaji ni mwenyekiti wa tume amtangaze mgombea urais wa ccm kushinda ,matokeo ambayo hayawezi kupingwa popote kisheria .Bado wakurugenzi kuwatangaza wabunge ,kumbuka wote hawa ni wateule warais ,sasa suala la kusema ccm inapendwa ipendwe na nani kwa ufukara iliowaletea watanzania watu hata pesa za kula hawana halafu wawapende ,kuongoza hamjui , vipaumbele hamjui , mzunguko wa pesa hamjui unatakiwa uweje ? Nyinyi kuongoza mnafikiri ni kutisha watu na kutoa ma amri ya hovyohovyo .
Kipindi kile John Cheyo akigombea urais aliwahimiza kwamba "atawajaza mapesa" hata kula hamukumpigia. Nafikiri sasa akirudi na sera yake ya kutujaza mapesa tunampa
 
Mkuu Waminepo, thanks very much for this very objective contribution, which is a very good analysis.
Opinions with such objectivity, ndizo zitalikomboa taifa hili kutoka hapa tulipo tufike kule tunakotakiwa kwenda.
Thanks.
P
Ajaye ni Hussein Mwinyi, kwa tume hui na katiba hii ni kupoteza muda kumjadili Rais ajaye nje ya ccm, haiwezekani,

Wengi tunahitaji kumuona Lisu akiwa mwenyekiti wa Chadema ili alete radical politics mpaka jiwe litaomba poo, siasa za kipindi hiki Mbowe arudi kuwa katibu mkuu uenyekiti akamate Tundu Lisu mtaenjoy shiw time

Tulishasema Mkiti Chadema lazima atoke Kanda ile K'njaro/Moshi si kwingine. Wewe unamutafutia matatizo TL
 
Dooh! Ni ngumu sanah kuamin ilah ndo Hali halisi
Yani una mjaji mtu kuwa raisi kwa uwezo wa kuongea na kujieleza ?? Eti waende BBC wahojiwe na suncker tuone Nani mkali????
Are you serious!!!!???
bro uraisi Ni taasisi, ndio inayoonyesha mwelekeo wa Maisha ya watu kwa Sasa na badae hata baada ya serikali ya Sasa kupita!! Na raisi ndio huongoza hiyo taasi kinachongaliwa sio uwezo wa kuongea bro kwa kingereza!! In fact fuatilia anachoongea lisu Ni nn hata kabla ya yy kushambuliwa??
Napata wasi wasi labda sometimes tuna argue na watoto wa shule ambao bado uwezo wa kufikiri unakua!!

Naona we ndo mtoto mchanga usiyejua unachosoma wala kuandika. Pamoja na Urais kuwa Taasisi huyo aliyekalia hicho kiti lazima awe na KIPAWA CHA UONGOZI ANACHOZALIWA NACHO MTU.
Watu kama kina Mzee Madiba(rip) na Mwl.Nyerere(rip)walizaliwa wakiwa na vipawa vya KUONGOZA siyo Kutawala!
Hivi Unawezaje kumlinganisha mtu kama Magufuli na Nyerere au Mandela kwa mfano?
Mandela akiwa Rais aliwahi kusafiri ziara ya kikazi nje ya Afrika Kusini na akamwachia Ikulu mpinzani wa chama cha Inkatha Freedom Fighter na kila kitu kikawa sawa kabsaaaaa.....Hivi mtu kama Jiwe anaweza kumwachia Mhe.Lowassa au Mbowe au Lissu akae Ikulu kwa muda?
 
Ajaye ni Hussein Mwinyi, kwa tume hui na katiba hii ni kupoteza muda kumjadili Rais ajaye nje ya ccm, haiwezekani,

Wengi tunahitaji kumuona Lisu akiwa mwenyekiti wa Chadema ili alete radical politics mpaka jiwe litaomba poo, siasa za kipindi hiki Mbowe arudi kuwa katibu mkuu uenyekiti akamate Tundu Lisu mtaenjoy shiw time

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanafikiri hivyo ila....
 
Back
Top Bottom