Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.
Huu siyo unafiki hata kidogo amesema ukweli wake. Kuna wanasiasa wanazishabikia shule za kata majukwaani lakini watoto wao wanasoma shule za kimataifa.
 
Anajua nini? Kipaji unachozungumzia ni kipi? Ungesaidia jukwaa kwa kueleza maswali aliyomuuliza Lissu na majibu aliyopewa. Kusema tu Salama anajua bila kuonesha anachokijua na hitimisho hilo umelifikia vipi ni maneno matupu.

Mwenye macho haambiwi tazama ila mwenyewe atachagua kipi cha kuona. Tundu siyo wa kuhojiwa na salama
 
Back
Top Bottom