Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Tundu Lissu uwezo wake wa kujibu maswali ni sawa wabunge 5 wa ccm
 
Gavana wa bot alipokea barua kutoka magogon aruhusu pesa kutoka,pia kuna jaji mkuu kapata mgawo wa m.500,huyu jamaa ni hatari nimependa alivyojibu kuhusu zitto
 
Namshukuru hata Edward lowassa kwa kuzipa kipaumbele shule za kata na mm nikasoma humooo lakini ananguvu ya kuingia ikulu jamaa sema tatizo ana rundo la ufisadi
 
Gavana wa bot alipokea barua kutoka magogon aruhusu pesa kutoka,pia kuna jaji mkuu kapata mgawo wa m.500,huyu jamaa ni hatari nimependa alivyojibu kuhusu zitto

-Na Muungano wa Tanzania wa sasa kasema hautaki sababu Zanzibar imegeuzwa koloni la Tz bara.
-Pia kasema watu hawamtendei haki wanapodai kuwa yeye hamuheshimu Nyerere, anamuheshimu, ila HAPENDI anavyotukuzwa kama Mungu.
 
Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.

anawapigania watanzania kama wewe ambao wanaamini shule za ccm ambazo zimeletwa kudidimiza elimu
 
Ndio mkuu!!!ni ujinga uliotukuka wa kutaka kumfananisha hayat JKN na kumfanya kama Mungu kuwa kila neno alilosema ni sheria
 
Kiongozi mbona umetupia kiduchu ivo? Ulianza flesh bt update umebaniA
 
kwa mara ya kwanza leo nimehisi mikasi imeendeshwa dakika kumi, TL noma sana
 
Back
Top Bottom