Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

Ndio mkuu!!!ni ujinga uliotukuka wa kutaka kumfananisha hayat JKN na kumfanya kama Mungu kuwa kila neno alilosema ni sheria

Nyerere hakuwa malaika alikuwa binadamu alikosea
 
Sasa Lissu na heshima zake anaenda kwenye mikasi huko kutafuta nn tena jaman
 
ako kasalama ndo kapumbavu kamwisho cjui nan aliwai kaongopea kua kenyewe ni ka mtu ka maana sana?? uwa sidhan kama kalishawai kukaa darasan ata kdogo kabla ya kukimbilia utangazaji mana wengi wao wakishakimbia umande wanadhan njia rahis ya kuish ni kutangaza, na ndo sababu Mziray super coach alikua anawadharau sn wengi wao. he was right!

Povu la NINI?

Huyo Salama kakosea kipi? Au Leo ni kipi kafanya/kahoji tofauti na vipindi vyake vilivyopita?
 
huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.

unamaanisha ili uonekane unawapigania wanaolala njaa na sharti ulale njaa? Au machinga na wewe lazima uwe machinga? Una mawazo na mitizamo ya kijinga na lazima utakuwa gamba tu!
 
salama atakua kafanya kitu kikubwa sana si bure maana kila mtu kajaa upepo
 
kwa mara ya kwanza leo nimehisi mikasi imeendeshwa dakika kumi, TL noma sana

Imewahi kuisha, salama huwa zikibaki dk kumi anajifanya kuondoka kuwaacha kina fidodido, ila leo naona Salama hakuipenda shoo. Alafu yule Mubha, sijui ni kilaza kweli au ana-act, maswali yake hayanaga kichwa wala miguu!
 
Nyerere hakuwa malaika alikuwa binadamu alikosea

Kabisa, inani-boa mimi maneno yake yanatumika kama 'sheria', yaani ukikosoa tu maneno yake basi wee si mzalendo!! Hakuwa Mungu wala malaika!! Ana sehemu yake kama muasisi wa Taifa hili, bhaas!
 
Huu ni unafiki mkubwa wa tunyulisu anasema hatezi kumpeleka mtoto wake shule za kata at the same time anasema anawapigania watanzania.
Hoja mufilisi. Mimi mwenyewe japo napata hela kwa shida, but mtoto wangu hawezi kusoma shule za kata. Huo ulikuwa mtaji wa CCM bila kujua kutakuwa na madhara makubwa.Kwani kule wanaenda kusoma au kuongeza tu umri kwenye hizo shule/ si bora akae nyumbani kama sina hela? Walimu wako wapi hizo shule? Usimulaumu bure Lissu
 
Imewahi kuisha, salama huwa zikibaki dk kumi anajifanya kuondoka kuwaacha kina fidodido, ila leo naona Salama hakuipenda shoo. Alafu yule Mubha, sijui ni kilaza kweli au ana-act, maswali yake hayanaga kichwa wala miguu!

Wote wale sidhani kama kuna mtu ana elimu hata ya form 4
 
Imewahi kuisha, salama huwa zikibaki dk kumi anajifanya kuondoka kuwaacha kina fidodido, ila leo naona Salama hakuipenda shoo. Alafu yule Mubha, sijui ni kilaza kweli au ana-act, maswali yake hayanaga kichwa wala miguu!

tatizo alialika mtu alie mzidi uwezo sana, eti anamuuliza swali nasikia mtu alitolewa unasheria cdm ila kukupisha, akimlenga mabere marando, hata hajui kuwa TL kawa mwansheria cdm hata kabla ya marando kuja cdm
 
Back
Top Bottom