GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,316
- 4,184
Akili ya ajabu sana hiiWatu kama Lissu wanazaliwa wachache sana baada ya miaka mingi kupita
Akili ya ajabu sana hiiWatu kama Lissu wanazaliwa wachache sana baada ya miaka mingi kupita
Kuliko ya Jpm aliyetaka kumuua?Akili ya ajabu sana hii
Na hata wakipigwa risasi nyingi, vibaraka wakaondoa cctv camera kupoteza ushahidi, binge likagoma kuwalipia matibabu, Mungu anawaponya.Ni kweli na ndio maana wanatumia muda mwingi kuponywa mahospitalini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wake pia amekubali?Tunajua kila kitu, na tunafuatilia. Tunampenda mwenzetu na tupo tayari kuendelea kumwamini.
Tunashukuru ombi letu la kutangaza nia limeungwa mkono vema na yeye na wenzake huko CDM.
Jpm ni jina au nini kirefu chake?Kuliko ya Jpm aliyetaka kumuua?
Kinachowatesa nini?? Kifo hupanga Mungu pekee na si mwanadamu. Jiwe alitaka kumua, Sasa ni mzima acheni afanye anachotaka. Shetani nyieLingekuwa ni jambo la mbolea sana kwa Wananchi wa Singida bila shaka wangefurahia sana kumuona mtoto wao akihojiwa na BBC live ya Londoni, ...
Nitolee ujinga wako wahi bk 7 yako mtumwa wa kufikili weeeeeJpm ni jina au nini kirefu chake?
HahahahahahNi kweli na ndio maana wanatumia muda mwingi kuponywa mahospitalini.
Sent using Jamii Forums mobile app
hoja yako iko wapiLingekuwa ni jambo la mbolea sana kwa Wananchi wa Singida bila shaka wangefurahia sana kumuona mtoto wao akihojiwa na BBC live ya Londoni, ...
Inabidi atangazwe kama Nyara ya Taifa make ni kama yuko katika viumbe vyenye hatari ya kutoweka dunianiWatu kama Lissu wanazaliwa wachache sana baada ya miaka mingi kupita
Hapo utumwa wangu nini? na "kufikili" unamaanisha nini?Nitolee ujinga wako wahi bk 7 yako mtumwa wa kufikili weeeee
Baada ya wazungu kuona ana IQ kubwa kuwazidi wabunge wote wa Tanzania wakaona kwa gharama yoyote lazima aponeInabidi atangazwe kama Nyara ya Taifa make ni kama yuko katika viumbe vyenye hatari ya kutoweka duniani
Lissu ni binadamu mwenye akili kuliko wabunge wa CcmHapo utumwa wangu nini? na "kufikili" unamaanisha nini?
Tatizo lako unafikiri kama mwenye utindio wa ubongo!.Lingekuwa ni jambo la mbolea sana kwa Wananchi wa Singida bila shaka wangefurahia sana kumuona mtoto wao akihojiwa na BBC live ya Londoni, ...
Na Watanzania wote au wabunge wa Ccm tu?Lissu ni binadamu mwenye akili kuliko wabunge wa Ccm