mwakipembe
Member
- Jul 5, 2018
- 10
- 4
Wa kuhojiwa na hardtalk ni nani? Unataka aje hapa alaf azimiwe mkarimani.Kwani kuna ushindani wa kuhojiwa?hao serikali walishindwa nini kwenda huko BBC ili walitolee maelezo tukio la shambulizi la mh Lissu?
In God we Trust
Jiandaeni kumuua tu maana huyo jamaa hawezi kubadili anachoamini, nimejifunza mengi sana kupitia Lissu he is a great lad. Anasimamia anachoamini na mwanaume unatakiwa uwe hivyo sio kujipendekeza.
1Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Waulize wa Zanzibar Mara mwisho walijisika guru lini? Na je Baba wa Taifa alikuwepo au LA?
Hao roho zao ni mbaya kuliko hata za nyoka maana nyoka asili yake ni kuumiza tuInashangaza Sana binadamu wanaofurahia wenzao wanapopata matatizo,Lissu ni binadamu pia,unapoonyesha hisia za kumchukia hutaeleweka vema.
Hahahahahaha senge kweli hili asa mzungu ndo nani? JikazeeeNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
tena wabunge wote wa ficemLissu ni binadamu mwenye akili kuliko wabunge wa Ccm
nimemsikia kubwalamaadui BASHITE eti anampa ushauri arudi kuwaona wapiga kura wake.. huyu mduduSasa wameanza kurusha ngumi hewani eti wanamjibu na kumpatia ushauri
In God we Trust
ni sheitwaan mkubwa anaeonekana mitaani lengo lake afanikishe mauaji yake nimemsikia kubwalamaadui BASHITE eti anampa ushauri arudi kuwaona wapiga kura wake.. huyu mdudu![]()
![]()
![]()
ni sheitwaan mkubwa anaeonekana mitaani lengo lake afanikishe mauaji yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka akiba y'a maneno ! Huwezi kujua kama na wewe utayatembelea siku moja ! Hujafa hujaumbikaMagongo kayaficha wapi sasa?
aka ChabrumaHalina aibu kabisa hilo dude linadhani watanzania tumeshasahau machungu ya mh lissu
In God we Trust