Sijaelewa hapo lengo la kwenda kwa wazungu kuzungumza juu ya nchi yake,hajui yeye kama LISSU maisha yake yalisha pita na anachia urithi watt wake,Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Eh marry ngonyani wapi nmekutukana jamani!huu uonevu sasaMi nikiandika chochote humu JF huwa ninalenga wahusika direct na kitu kibaya sana huwa ninaandika absolute truth kama wewe ni mhusika usipochukia na kutukana basi unahitaji kupigwa msasa kule Mirembe! Ukweli wangu huwa unawauma mno wahusika! Poleni sana, na tuimbe sasa kwa pamoja, cc.. mbele kwa mbele. Tuliichagua wenyewe sasa tunaisoma namba na kulima kwa meno ha ha ha! Mtu akikuzidi akili unajua tu!!
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Sijaelewa hapo lengo la kwenda kwa wazungu kuzungumza juu ya nchi yake,hajui yeye kama LISSU maisha yake yalisha pita na anachia urithi watt wake,
Sasa jambo la kujiuliza wazungu wakiweka vikwazo tz watt na mkewe watakuwa mwezini au wapi?
Ukiangalia move ya Sarafina katika nchi ya Africa kusini utaona jinsi vibaraka wa wazungu walivyo uwawa na weusi wenzao (kibaraka ni nyoka mwenye sumu kali na wala asiachwe akaishi kamwe)mpka ile nchi inapata uhuru wa kweli.
Tumbo lako na watt wako situfanye kama nchi tukaingia ya Kina Gadaffi.
Watz wenzangu nchi pekee yenye uhuru wa kweli ni Tz ilindeni Aman ya nchi hiyo kwa Udi na Uvumba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kusoma kabla ya ku-comment. Maelezo ni kama ifuatavyo, I quoteNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Waste spermukweli mchungu asikwambie mtu matusi ya kila rangi yanaporomoshwa!
Only stupid people will let it go your nonsense.. Black_sheepHumu JF hoja hujibiwa kwa hoja ukiona mtu anasema Mamaaa kama wewe "ujue limempata"! Ukiona mtu anatukana ujue hana elimu na hana hoja! Ukiona mtu haelewi nilichoandika ujue akili yake ni ndogo! Ukweli ni mchungu daima mkuu! Wazazi wangu wameniwezesha kuwa na digrii tatu hadi sasa na nilisoma special school na A zangu kibao form four ! Meza tu hii sumu mkuu kuwa Tindua amekwisha habari yake!
Mwambie huyo mrukia mamboJifunze kusoma kabla ya ku-comment. Maelezo ni kama ifuatavyo, I quote
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Wewe mwenyewe mjinga huwezi toa kashfa kiasi hichoNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
nasikia kuna baadhi ya watawala wanashindwa kwenda uingereza na marekani kwa kuhofia maswali ya kimtego kwa hawa wenzetu mabeberuInterview za HARDTalk huwa ni maswali ya hapo kwa hapo, sio kama TBC unatumiwa maswali yaliyoratibiwa kabla ili uje umeandaa majibu kabisa
Ni kweli na ndio maana wanatumia muda mwingi kuponywa mahospitalini.Watu kama Lissu wanazaliwa wachache sana baada ya miaka mingi kupita