Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Huyu ni zaidi ya mchawi au nikati ya walio husika kufanya jaribu la kumuua mh lissu
Mkuu ni vigumu sna mtu wmenye akili timamu kusoma aya zako hizi bila kukutukana ! kwa sababu yaekea wazazi wako walikusaidia sana hadi ukamaliza darasa la saba ...lakini Naona Elimu hiyo uliyojaliwa haijakusaida!

In God we Trust
 
Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Sijawahi kumiss Interview za Stephen Sucker. hiki kichwa ni noma sana.
 
Tunashukuru sana kwa kuturahisishia kazi ya kuwasaka walio shiriki kutaka kumuua mh lissu
Hapana tunaongea ktk uhalisi kuwa wale anaoenda kuwaelezea watamsaidia nn tofauti na kumkejeli? Tundu lissu Amesha expy aje atulie kwake hana jipya tenaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom