Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Safi sana.
Kwakweli stataka nipitwe katika Mahojiano yake na Stephen sackur Hardtalk.
Stephen sackur yupo njema sana katika kuuliza maswali na huwa anafanya utafiti mkubwa sana kabla ya mahojiano.
Kutokana na Maswali ya Stephen naamini nitapata Mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yangu Tundu lissu.
Matteo Salvini the Deputy Prime Minister-Italy alipata kuingia hard talk,Nilijifunza Mengi.
Kama kuna upatikanaji wa BBC nadhani ni jambo zuri tukiitazama Hardtalk Stephen sackur vs Tundu lissu.
Saizi Hardtalk ipo hewani.
Stephen yupo na Writer Jonathan Coe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka serikali itaendelea kushutumiwa. Ili kutenda haki itabidi Stephen Sucker aje Tanzania kuwahoji upande wa pili. Namna hiyo stori hii itanoga sana. Uhuru Kenyatta alikuwa kwenye Hardtalk miezi michache iliyopita ingawa alihojiwa na Zaina Jedawi!