Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
ni muda gani ili tutegeshe misikio na mimacho yetu
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...

Wewe beza tu badala ya kupanga mashambulizi ya kisiasa
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...


Mjinga wa kwanza wewe ambaye hata comment yako imejaa ujinga...tatizo umesomea chuo cha kigamboni
 
Yaani Kati ya mijitu iliyozaliwa kwa bahati mbaya ni huyo mtu
Mjinga wa kwanza wewe ambaye hata comment yako imejaa ujinga...tatizo umesomea chuo cha kigamboni

In God we Trust
 
Nasema hili kwa uchungu na masikitiko makubwa kama binadamu! Tindua is clearly finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa alie na vyuma mwilini na anaetembea kwa msaada wa magongo ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa bush basi atapiga kelele mno huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo, kwasasa ni mwoga kama kunguru! yani kila akiwaza bongo picha ya ziraili tu ndo inajaa akilini mwake anaziba macho, anatetemeka, moyo unapiga tii tii tiii! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno viliijenga personality yake! alisahau msemo wa wahenga "werevu mwingi mbele giza" . Mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu wa mjini kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa Tindua anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni inaitwa asylum!! wabongo wa uzunguni tuna akili mno tushamjua! Huyu kama hawezi tena kupanda ghorofa ya kumi kwa kutumia ngazi na hawezi tena kupiga push up sasa hiki ni kituko cha karne eti agombee urais, au sijaelewa ana maanisha urais wa kuongoza familia yake au ukoo wake au mtaa kule bush kwao kuku wa kienyeji hawaishi karne ya mia mbili sasa, wenyewe wakuja wanapaita Singapore! ha ha ha! hivi nyie watu wa ba - vichaa mnajua uzito halisi wa mzigo wa urais?

Nadhani pia baba yake Tindua huyu msanii bwana Meku Frii mani = selo+kulima kunde kwa meno segerea , anamfanana sana, nae huyu mzee "mtu huru" alie gerezani ni mlemavu wa akili kutoka kule bush panaitwa mfu aka hayi!! majina mengine si ya kuwapa watoto ovyo ovyo aisee Meku ni mikosi na nuksi balaa tupu! yaani jina lako tu basi selo inakuchekea chekea ovyo ovyo tu kila ukikimbia spidi kali kama duma huku umenyoosha vidole viwili juu , ukigeuka nyuma kucheki dah selo hii hapa inakuita wewe injinia frii mani soma hiyo dhamana imeandikwaje?, njoo huku selo ulale! ha ha ha!
Mkuu ni vigumu sna mtu wmenye akili timamu kusoma aya zako hizi bila kukutukana ! kwa sababu yaekea wazazi wako walikusaidia sana hadi ukamaliza darasa la saba ...lakini Naona Elimu hiyo uliyojaliwa haijakusaida!
 
Humu JF hoja hujibiwa kwa hoja ukiona mtu anasema Mamaaa kama wewe "ujue limempata"! Ukiona mtu anatukana ujue hana elimu na hana hoja! Ukiona mtu haelewi nilichoandika ujue akili yake ni ndogo! Ukweli ni mchungu daima mkuu! Wazazi wangu wameniwezesha kuwa na digrii tatu hadi sasa na nilisoma special school na A zangu kibao form four ! Meza tu hii sumu mkuu kuwa Tindua amekwisha habari yake!
Pole sana mtu aliyesoma hawezi kujitangaza kama wewe inaonekana wewe ni limbukeni wa maisha

In God we Trust
 
Back
Top Bottom