Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Mpashe huyo mramba viatu wa chakubanga
In God we Trust
 
Ni vizuri tukajadili issues badala ya watu!! Uwanja wa chato mbona hushangai tena kwa fedha za umma!! Hacha unafiki k ww!!!!
 
Sita enzi za uhai wake pia alijenga ofisi kubwa ya mbunge jimboni kwake

No; ya Spika! As if Spike siku zote atatoka Urambo. Ingekuwa ya Mbunge hakuna shida kwani itatumiwa na yoyote atakayechaguliwa.
 
Kuwa fair !! Hacha ujinga!!! Uwanja wa kimataifa chato???
 
Wewe matter-core kweli,kila siku unalalamika kuwa "Chadema hawana ofisi" leo hii wameanza kwa kujenga ofisi ndogo kwenye jimbo umeamua kuharisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyalandu alisimulia hilo tabasamu alipomtembelea kwa Mara ya Kwanzaa mini Nairobi. Hivyo ndiyo alivyoumbwa. Nadhani bilo tabasamu ndilo lililomvusa Nyalandu na kuamua kujitenga na mshikamano katika uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…