Tundu Lissu na Gobless Lema ni wanasiasa?

Tundu Lissu na Gobless Lema ni wanasiasa?

Namuonea huruma fundi mwashi yericko nyerere huenda akafia gerezani muda si mrefu kwa kushiriki kuandaa waraka feki
 
Naombeni mnijuze zile tetesi za kwamba kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichofanyika Dodoma MWAKA Juzi wakati wa kuwahoji wale madiwani wa Manispaa ya Arusha baada ya majibizano ya muda mrefu na madiwani kukutwa ya kwamba kwa makusudi waklikataa kutii maagizo ya chama na hivyo kutakiwa kuomba msamaha. Tetesi zinasema Mhe ZZK alikuwa ndani ya kikao na alikuwa akiwatumia SMS hao madiwani na kuwaambia ya kwamba wasiombe msamaha na hicho ndicho kilichowaponza. hatimaye Madiwani wakatoswa yeye akabaki kutesa.
SUMU YA USALITI.
 
Jina lako tu ovyo mwanzisha thread.
 
Hawa ni wanaharakati na wanasiasa, ni wakombozi na makamanda wa chama, ni shujaa na wachapakazi, yaani lema na lissu hiyo combination, haina mfano. NI BORA HAO WAWILI KULIKO KINA ZZK na wafuasi wake 100,000 kama wapo TZ wajinga 100,000 lakn ambao wako tayari kuhujumu chama.
 
In a dream land i would wish Kitila and zitto types to be kicked out by chadema,then they should join hands with a few outcasts from CCM and other parties,they should form a political party that will have a clear ideology.

small problem with this ideology is that,very few people will want to sacrifice their positions,security and comfort to take on this sort of quest.

Chadema was interesting,but after 2010 it turned into a very directionless party.it was a great hope then,now it has no clue what it wants to achieve.

CCM on the other hand is this formidable spent force that has run its course.when u see the likes of mwigulu nchemba are given such high positions in any party,u know there is a problem there.

what Zitto and Kitila has outlined in their "waraka" is the bitter truth that Mbowe and Team doesn't want to hear about. while Maandamano and movements here and there can raise popularity,they don't really form any lasting bonds.as others have pointed out, CHADEMA is in dire need of a proper political strategist.

Since Dk.Slaa and Mbowe won't allow CHADEMA to grow up as a party and be inclusive of other people rather than opportunists who makes noises on the web all the time,it's not going to happen.

For those blaming Zitto,i think most are forgetting that the guy is a politician,nothing written in that "waraka" a serious politician wouldn't do/say in their careers. i would only blame Zitto for being such naive and let their strategies in the open like that.No one is given power by anyone,power is taken,and only naive people thinks becoming a party chairman,or president is something that comes to people out of luck.

for those with netflix access see house of cards by BBC,the original one,then you would understand what it takes to get power. see what Francis Urquhart has to do,of-course there are some few theatrics exaggerations,but there is a reason why it has 8.3 rating,it's pretty damn close to reality.
 
Back
Top Bottom