- Thread starter
- #21
💯 💯Kuna maigizo/ulaghai mwingi sana, kama ilivyo kawaida ya Samia Suluhu Hassan katika kila jambo analofanya.
Hata hiyo picha unayoona hapo, ukiisoma vizuri unaweza kuona kuwa ni ulaghai unatumika.
Ni lini Tundu Lissu kapewa fursa kama hiyo ya kusalimiana na watu wanaokuja mahakamani!