Tundu Lissu LIVE bila chenga kesho asubuhi saa moja na nusu BBC world news...wenye DSTV ni channel 400

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Kesho itabidi nichelewe kwenda kwenye kibarua changu sina jinsi..I can't miss to watch this...
 
Attachments

  • 20190120_193302.jpg
    20190120_193302.jpg
    156.2 KB · Views: 32
Kwa hali hii, Lissu na upinzani kwa ujumla wawe makini na wauaji wake. Hawapendi kukosolewa na vyombo vyao vinajipendekeza sana kwa ma booss wao.

Tatizo tulilonalo ni tume ya uchaguzi inayomilikiwa na kuamuriwa na moja wa wagombea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho itabidi nichelewe kwenda kwenye kibarua changu sina jinsi..I can't miss to watch this...
Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur

Sent using Jamii Forums mobile app
asant kwa kufuatilia kwa undani nilichokifanya nimeangalia mda kwenye DSTV yangu kwa mda wa local time ya kwetu yaani TZ..so itakuwa saa moja na nusu ya mda wa BONGO
 
Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur

Sent using Jamii Forums mobile app
Menu ya DSTV/Schedule yao kwa Bongo ina local time. Matangazo ya events mfano upcoming live football games ndio huwa zina CAT.
 
Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur HostGator DreamHost Bluehost

Sent using

Back
Top Bottom