Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,396
Aongee tu asichoke kuongea maana akiacha kuongea sijui nani ataweza kuongea.Jumanne, February 5, 2018 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C.
Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
Meanwhile huku Tz watu wanajenga barabara, madarasa, madawa hospitalini, SGR, Stieglers Gorge electricity project etc.
Maongezi ni muhimu, big up Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app