Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

GW ni zaidi ya HardTalk ajiandae vizuri kujibu maswali labda awe mhutubiaji bila maswali. Wengine yaliwakuta hapa Oxford hao siyo wanasiasa na wasomi.
 
My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….

MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
kwa wema upi? Mgonjwa hujampatia hata ndururu ya matibabu; kapata nafuu unaanza kumwambia kapona arudi fasta home...kweli haya ndiyo malimwengu ...maana sina uhakika kama hata umeshawasiliana na daktari wake kujua kiasi cha recovery alichofikia
 
Kipi kilichonoga? Wizi wa 1.5 trillions? Dhuluma ya zaidi ya 250 billions kwa wakulima wa korosho? Miaka minne bila nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi? Kununua ndege za abiria kwa $464 millions na baada ya kukosa abiria nchini kubeba mbuzi kupeleka Dubai? 😳

Naona amekuwa Vasco Dagama wa kipindi hiki.
'arudi nyumbani kumenoga!
 
Uzuri wake JIWE anaendelea na yake halafu wapiga kura ni watanzania siyo GW. Endeleeni kuwa kama wafuasi wa Donald Trump. 2020 ipo jirani mtarudi kwenye msiba wenu ambao matanga hayaishi. TUMEIBIWA KURA. Tunafungua kesi IC uholanzi.
Wewe upo upande gani na unafaidi nini zaidi ya kuwa behind of computer kama mimi
 
Tatizo akirud tz Jiwe hata mwacha! Aje na ulinz wa kutosja la sivyo sidhan kama atabaki salama Kwa roho mbaya ya Macc haya! Kikubwa awatrain watoto wake wajekuwa walinz wake na si vinginevyo
 
GW ni zaidi ya HardTalk ajiandae vizuri kujibu maswali labda awe mhutubiaji bila maswali. Wengine yaliwakuta hapa Oxford hao siyo wanasiasa na wasomi.
Ma-genius wa WU hawawezi kumwacha bila maswali. Awamu hii ajifunze ku-appreciate positives za Jiwe na kutumia mbinu za kidiplomasia kuzifuta kwa kigezo cha demokrasia na ukandamizaji.

Akielekea kuwa negative tu bila angalau kutaja zile positive za jiwe, siyo utamaduni wa wazungu. Wazungu hata ukiandika sentensi moja mbovu atakusifu kwanza kwa kujaribu kuandika, kisha ataku-challenge huo ubovu wako wa kuelewa lugha.

Ni lazima tujifunze kutumia right approach ya kuongea kutokana na audience.Tofauti na huku Tanzania ambabo hata kuonekana karibu na mtu utashambuliwa kwa maneno ya hovyo hovyo mpaka ukimbie.
 
Y
My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….

MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
Ye amekwmbia anataka arejeshewe garama za matibabu?kuna mijitu ilijiapiza kwamba kwa risasi Zile lisu angefunga mdomo.bahati mbaya walikuwa hawajui lisu ni MTU wa aina gani.angekufa sawa lakini yupo hai thubutuuu.hatochoka kuongea.
 
Uzuri wake JIWE anaendelea na yake halafu wapiga kura ni watanzania siyo GW. Endeleeni kuwa kama wafuasi wa Donald Trump. 2020 ipo jirani mtarudi kwenye msiba wenu ambao matanga hayaishi. TUMEIBIWA KURA. Tunafungua kesi IC uholanzi.
Endelea kuwa falla tu wakati nchi yako ikiendelea kuporwa na hawa mabeberu na ukidhani tunajenga reli kumbe vitukuu vyako vitakufa kwa utapia mlo maana nchi itakuwa inatawaliwa na wale walioikopesha madeni ya kujenga reli hiyo
 
Na White House ataenda lini?

Maana tumeambiwa kaalikwa na POTUS baada ya ile ‘performance’ yake mwenye BBC’s HARDtalk.
Siku wakitangaza anaenda white house? Isije ikawa unakejeli tu halafu akaenda kweli.
 
Back
Top Bottom