Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

Kipi kilichonoga? Wizi wa 1.5 trillions? Dhuluma ya zaidi ya 250 billions kwa wakulima wa korosho? Miaka minne bila nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi? Kununua ndege za abiria kwa $464 millions na baada ya kukosa abiria nchini kubeba mbuzi kupeleka Dubai?
Khaah!Bak kumbe na ww ni mtaa wa pili?Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumanne, February 5, 2019 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C.

Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
Kwa Muda wetu itakuwa kuanzia saa 10 hadi saa 11 na 30 jioni kwa wale wafuatiliaji wa live coverage.
 
Back
Top Bottom