Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

Huyu naye tangu aanze kukutana na mabeberu hakuna tija yoyote kwa nchi zaidi ya kuomba hifadhi Ulaya.
 
Kesho utasikia EU waimiminia misaada Tanzania.

Wazungu siyo wajinga wanajua tofauti ya mbwa na mwenye mbwa kwa sababu wao ni rafiki sana wa mbwa majumbani mwao!
Aisee. Awamu hii CCM Haina hiyana na mabeberu na misaada yao. Porojo za kujitegemea za awamu ya tano tia pipani! Kweli usipokuwapo na lako halipo.
 
Waliingia na gia ya kumsifia,wakijua ukimsifu baaasi analegea,hawakujua huyu ni mtemi Hangaya,kawatolea nje.
 
Kwani mleta mada amesema nini kinachomuhusu lissu kwenye picha hiyo?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
miafrika wew nanani?? em jaribu kujiweka ktk ilo group la wajinga wew mwenyewe, sio kuwaingiza hata wasiohusika, hujui akili za kila mwafrika ziko vipi, acha chuki zakipuuzi
 
..mabadiliko ya Afrika Kusini yalipatikana baada ya mabeberu kupunguza kwa kiwango kikubwa support yao kwa utawala wa makaburu.
Tena ni matokeo ya demokrasia pevu katika nchi za mabeberu ambapo wananchi wa nchi hizo walijitokeza kwa wingi zaidi kushinikiza serikali zao kuwekea vikwazo vikali zaidi serikali na makampuni ya makaburu hadi waache mfumo wa apartheid na kuwaachia huru kina Mandela.
 
Na yeye JPM wazungu wakatusaidia kumfyekelea mbali.

This is the big point one can not understand
 
Mbowe ni GAIDI...


HAYA MENGINE MAIGIZO TU!

Kwa nini hamtaki kumrudisha dereva wa Lissu aje atowe maelezo yeye alipona vipi risasi ilhali yeye ndie alikuwa upande wa mpigaji?

Chadema bhana!

Hao EU Ndio haohao. Juzi kati walimuahidi Samia kufanya nae kazi bega kwa bega!

Hapo lissu kamtembelea sh**a mwenzake na wakaongea na kunywa kahawa na kupiga picha.

Yule wakili wenu Amsterdam aliishia wapi vile?
 
 
Yani anatafuta madaraka na manufaa binafsi ya kisiasa kwa kuomba watanzania wenzie wasisaidiwe.

Ivi uyu anautofauti gani na waasi tunaowasikiaga uko kongo?
Hasie penda madaraka Nani Katiba mpya imeletereza mpk kesi ya ugaidi kwanini upo upo Kama mbwa poli
 
Mi sahihi kabisa mzungu anajua utu wa mtu ata iweje mwafrica sisi ni chunusi kabisa just imagine mzungu hasingekuwepo dunia hii Hawa viongozi wangekuwa wanatuchinja mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…