Tundu Lissu kama MESSI WA BARCA ndani ya Bunge, kamfumua Kafumu...!

Kafumu kaanza mchezo vibaya. Yaani dakika za mwanzoni ameshapewa kadi ya njano.

Mimi mshahara wangu wa mwezi mzima haufiki laki 6 lakini yeye na kundi lake ndani ya kikao kimoja wanalipana laki 6. Is not fair!

Mungu awalaani wote na familia zenu.
 
Kafumu! Kafumu! Kafumu! Kafumu! Kafumu! Kafumu!
Kweli Igunga hamja watendea haki watanzania. Kafumu huyuhuyu amekula posho ya laki tano?!

Nazidi kukumbuka maneno ya katibu wa chama changu "KUENDELEA KUICHAGUA CCM NI MAAFA" DR SLAA 2010.

Kamanda wng wacha tu! Kumbukumbu zikinijia yani nazidi kuchafukwa na roho mbaya sana. sisiem ni janga kwa Watanzania.
 
Naunga mkono kuongenzwa kwa vipengele viwili alivyoelekeza Mh Mnyika, juu ya utekelezaji wa maazimio ya kamati ya Bunge..
 
Igunga waliambiwa kuwa huyo Kafumu alikuwa fisadi katika wizara ya Madini, hawakusikia leo, wameumbuka kwa kuchagua Mbunge fisadi.
 
Lissu hajalisema hilo kwa ajali. Anajua kuwa Kafumu alikuwa anaandaliwa kuwa mrithi wa Ngeleja. Sasa anataka watu wauone mkia wa mfalme; atakapotoa toa mwizi na kuingiza jambazi kwenye Baraza la Mawaziri.

Ukijua siasa ukawa na akili, you'll know kete gani ya kuisukuma hata kama ni mafundi wa kubadirisha kanuni katikati ya mchezo.
 
Sikumuelewa jk 2010 aliposema bora slaa awe rais kuliko tundu lissu kuwa mbunge,leo ndo nimeelewa zaidi,huyu lissu ni zaidi ya jembe kwa kweli,ni zaidi ya mwanasheria yeyote hapa tza.big up kamanda lissu
 
Kafumu kaanza mchezo vibaya. Yaani dakika za mwanzoni ameshapewa kadi ya njano.

Mimi mshahara wangu wa mwezi mzima haufiki laki 6 lakini yeye na kundi lake ndani ya kikao kimoja wanalipana laki 6. Is not fair!

Mungu awalaani wote na familia zenu.

We si ni yule mzee unayetetea sana magamba humu JF? Leo vipi? Unasikitika kusikia gamba moja limepiga posho inayozidi mshahara wako wa mwezi eh. As long as CCM wapo madarakani utaskikitika sana ndugu yangu, hilo si tatizo la magamba fulani fulani ndani ya chama kana kwamba wakiondoka wao basi CCM safi. Ni tatizo la kimfumo. Ni tatizo la kikatiba. Inatakiwa katiba ambayo ngazi ya madaraka serikalini inaambatana na uwajibikaji mkubwa sana kimaadili na kifedha. Ubadhilifu mkubwa sana wa hela serikalini unatokana na viongozi kujihisi wafalme fulani, mabwana fulani hivi waliozaliwa ili kufanya anasa kwa migongo ya watu walio chini. Mimi na wewe. Nakushangaaga sana unavyokandia jitihada za mabadiliko.
 
Kiukweli namkubali sana mh.Tundu Lisu,yaani nisawa na kina- Lusinde 100 wa CCM,ni mtu ambae ni lulu kwa Chadema na Taifa hili,ngoja kesho tuone mdahalo ulioandaliwa pale Movernpick kuhus the Tanzania we want na katiba,atakuwa na Mnyaa wa CCM BBig up Mh Lisu tuko pamoja
 
Mwacheni Lisu! Anaweza akaja akawa ndiyo MKOMBOZI wa Taifa hili lililogandamizwa na mafisadi!
 
Before turning on Kafumu, how sure are we that the recommendations proposed by the commitee on Jairo shall be implemented?
 
Before turning on Kafumu, how sure are we that the recommendations proposed by the commitee on Jairo shall be implemented?

ndio umeaamka sa'hv!!? Hayo c ni maandishi huwa yanaandikwa kwenye karatasi.
 
Today wameongea kama Taifa moja, kwa maslahi ya wananchi, itikadi zilikuwa pembeni, very interesting....!!!
Maslahi ya wananchi yapi wakati umewasikia Kilango na Sendeka wakisema mawaziri hawawezi kuwajibika? Ngeleja na naibu wake wameiba kila mmoja 4m lakini tunaambiwa hawawezi kuwajibika, Lissu alisema hawa wote ni wezi, na sehemu muafaka kwao ni mahakamani.
 
Mr.President,
Gam kar ala aqho adosinge! Aymii sing ki looar iloo. Idosing i qhondaka naas.

Dr, umenifurahisha sana kwa kuithamini lugha ya asili. Naona fahari kwa namna unavyoithamini kuisema na kuiandika mbele ya wote. Hongera.
 
Back
Top Bottom