Tundu Lissu hajulikani alipo, Dar hajafika, Jana walilala Dodoma

Siwezi kupost upuuzi kwa masirahi ya kupata
Kazi acha nife na umasikini wangu daima
nitasimamia ukweli # chadema #Ukawa
1470299612966.jpg
 
Baada ya kukamatwa jana jioni kisha kusafirishwa jana hiyo hiyo kuelekea jijini Dar es Salaam kwa kadri ya kile kilichodaiwa kuwa ni maagizo kutoka juu, walipofika Dodoma baada ya kula na kupelekwa polisi mkoa kuonana na RCO ilionekana kuwa yeye pamoja na askari waliokuwa wakimsindikiza wangelala pale na safari ya kupelekwa Dar es Salaam ingeendelea asubuhi leo.

Viongozi wa chama kutoka Singida waliokuwa wakimsindikiza waliambiwa kuwa wanaweza kutafuta mahali pa kulala na kwamba wafike hapo polisi mkoa majira ya saa moja asubuhi leo ambapo safari ingeanza saa mbili.

Taarifa zilizotufikia alfajiri leo kutoka kwa viongozi wa chama mkoani Dodoma na viongozi waliokuwa wakimsindikiza Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mbunge huyo wa Singida Mashariki, zinasema kuwa baadhi yao wamefika polisi hapo saa 12 asubuhi na hawakumkuta Lissu bali wameambiwa kuwa ameondolewa hapo mapema alfajiri kwa maelekezo ya kutoka juu.

Haijulikani hasa muda ambao ameondoka Dodoma na kwa sasa atakuwa yuko wapi na iwapo alitokea central police station au Ofisi ya RCO!

Makene.
HAYA MAELEZO YA KUTOKA JUU? Watanzania tuwe makini.
 
Sina utaalamu sana na maswala ya assassin bt, ili Lissu adhurike na picha lisiungue...itawalazimu polisi wote waliopo pamoja nae wafe,...regardless ni impact gan wanataka kumfanyia.
 
Tunamsubiri kiongozi wetu na tunajua ataachiwa hapo hapo polisi au mahakamani na atatema cheche tena!
 
Tundu Lisu kiherehere sana ,acha aisome Namba.

Kama Mwenye chama Mzee Mtei amesema Magufuli ni kama Nyerere.

Wewe kibavicha unapinga who are you??
Wapigwe tu, maana hamna namna
 
Yuko salama Kiongozi, As long as yuko mikononi mwa Polisi hakuna shida ya Usalama wake..

runna,
Are you sure with what you're talking?

Kama Rais aliyeko madarakani ametishia wana CCM wenzake kuwa atawapoteza atashindwa kuwapoteza wapinzani????

Huyu jamaa kesha tamba kuwa HAJARIBIWA, na HATAJARIBIWA kwa vile yeye ni TOFAUTI SANA......!!!!

CHADEMA HQ fuatilieni kwa karibu Mhe. Tundu Lissu asije akapotezwa!! Hii serikali ya Magufuli kwa sasa HAIAMINIKI,HAITABIRIKI na HAIELEWEKI!!!

Kila siku kuna matukio yasiyo eleweka. Mungu ibariki Tanzania.
 
Tundu Lisu kiherehere sana ,acha aisome Namba.

Kama Mwenye chama Mzee Mtei amesema Magufuli ni kama Nyerere.

Wewe kibavicha unapinga who are you??

>Wapigwe tu, maana hamna namna
 
Kwa taarifa za sasa ni kwamba amevuka Ruvu muda mrefu kidogo uliopita kwahio huenda kwa sasa amefika Dar au anakaribia Dar
 
Back
Top Bottom