Tundu Lissu : Bora utawala wa Hayati Magufuli tulikuwa tunafanya mikutano ya ndani

Makamu mwenyekiti wa Chadema aliyechukuliwa na Amsterdam na kuwa mkazi wa Ubelgiji Tundu Lisu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani.
Lisu amesema kwenye serikali ya awamu ya tano chini ya hayati rais Magufuli waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani na operation mbalimbali kama ile ya Chadema ni msingi walipozunguka nchi nzima.View attachment 1975316
Jitahidi kuwa na msimamo. Karibu
 
Tulieni jamani kila mmoja acheze kwenye half yake hapa uwanjani, hakuna haja ya kugombania mpira .
 
Am not sure Lissu anaweza ongea hivyo,na kama ameongea lazima kunaufafanuzi ktk Hiyo Afadhali ya Magufuli
 
Huyu naye mbuzi kabisa amesahau risasi alizomiminiwa tayari?

Kweli kusikia kwa kenge hadi damu imtoke masikioni,,

Huyu ni wa kummisi shujaa kweli?
 
Hawa wanasiasa hata hawaeleweki.
Eti leo Lisu anamkumbuka na kumpongeza Magufuli kwa kuwaruhsu kufanya mikutano.
Darasa la saba mnaonekana tu mnapocoment.
Ivi tukisema alijenga sgr,ndege,na kuhamia Dodoma itakuwa ni kumkumbuka?

Tukisema aliamuru kuuawa kwa Lissu,saanane itakukuwa kumkumbuka?

Kama alifanya jambo lolote tutasema

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom