Tundu Lissu : Bora utawala wa Hayati Magufuli tulikuwa tunafanya mikutano ya ndani

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani.

Lisu amesema kwenye serikali ya awamu ya tano chini ya hayati rais Magufuli waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani na operation mbalimbali kama ile ya Chadema ni msingi walipozunguka nchi nzima.

View attachment 1975316
Kwahiyo sasa anataka kusemaje?
 
Kama walisema kwa Lowasa waliyoyasema kisha wakampa kugombea uraisi itakua ya Magufuli na Mama Samia! bado muwaelewe vipi zaid ya utapeli wa wanasiasa
Hawa wanasiasa hata hawaeleweki.
Eti leo Lisu anamkumbuka na kumpongeza Magufuli kwa kuwaruhsu kufanya mikutano.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani.

Lisu amesema kwenye serikali ya awamu ya tano chini ya hayati rais Magufuli waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani na operation mbalimbali kama ile ya Chadema ni msingi walipozunguka nchi nzima.

View attachment 1975316
Ccm hawajiaimini
 
Back
Top Bottom