Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

Lowassa ni Mlima Kilimanjaro
Na Lissu ni Kama Kilimanyege cha pale Morogoro store
Siasa ya Tanzania sio kupiga Kelele na Kama ingekuwa ni uwezo wa kupiga Kelele Lowassa na Kikwete wasingekuwa na Mafanikio ya Kisiasa kiasi kile
LOWASSA ana mafanikio gani?
Kashindwa uwaziri mkuu, kashindwa urais, kashindwa Kila kitu sasa kaenda kulamba miguu ya Fid Q.
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowassa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowassa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowassa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowassa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Aisee!
Wewe akili yako imejaa pomoni.
 
Duh! Ama kweli umri unaenda na akili. Leo mtu anakurupuka kusema umaarufu Wa TL umeletwa na timu Lowasa? Mimi simdharau Lowasa hata kidogo, ana nguvu zake kisiasa na huwezi kuzidharau kama unajua siasa. Yeye aliona akiunganisha nguvu na CDM atafanya vizuri zaidi.

Kosa la Lowasa ni kuchelewa kuondoka Ccm, kama angejiondoa siku alipoenguliwa hadithi kuhusu ccm isingekuwa hii na huenda Tanzania ingeingia kwenye machafuko au kitu kingine tofauti kabisa. Lakini kusema vijana Wa Eddo ndo wanaomtetea TL mitandaoni unapotoka vibaya.

Siku mlipompiga risasi nchi yote ilikaa kama imemwagiwa simanzi. Hata Lumumba hapakukalika japokuwa wachache waliendelea kujiaragua wakiomba na kupost vipost uchwara kuonyesha ameshakufa. Watu mitaani walilia, maofisini wengi Kazi zilikuwa nzito, vijiweni habari ilikuwa moja.

Hata angepigwa risasi Mr. ATUBU hali isingekuwa hivyo sanasana vurugu za Polisi na usalama wa Taifa ndo zingeonekana mitaani. TL anasimama kama yeye, utake usitake, umkubali umkatae. Ondoa ushabiki katika ukweli hakuna nyongeza ya umaarufu iliyoletwa na Eddo kwa TL, otherwise tuendelee kukudharau.
 
LOWASSA ana mafanikio gani?
Kashindwa uwaziri mkuu, kashindwa urais, kashindwa Kila kitu sasa kaenda kulamba miguu ya Fid Q. LOWASSA ni mbwa aliyepotea. Alipokojoa mvua kubwa ikabeba mkojo wake, hana dira Wala uelekeo

Ila ndio alikuwa Mwanasiasa bora zaid kwa vigezo vya Chadema kuwa Rais 2015
 
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowassa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?

Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!

Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowassa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowassa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowassa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Huu ndio ukweli... Tundu Lisu anafikiri kuropoka ndio kupendwa na wananchi... Lowassa level nyingine..

Tunakuomba Lowassa urudi CCM upate mapokezi ya nguvu. Nina hakika uwanja mpya wa Taifa utajaa
 
Lowaser naona ameogopa kupekenyuliwa!!!! Maana upekenyuaji wa awamu ya tano si mchezo, MTU kama huyo hawezi kujiamini hata kidogo, tusimlaumu maana anajihami kiaina!!!
 
Kuna jamaa anaitwa Jonathan Njawu ni jamaa kabisa ya TL amekuwa akijaribu sana kupambana na TL jimboni bila mafanikio over the time.

I wonder.....
 
Ukitaka kujua chadema hawana shukran tizama wanavomchukulia mzee wetu baada yakwenda ikulu.tumechukia sana sasa subirin ile sapot kama mtaiona tena pumbaf
 
Politically lowasa hana uwezo ila economically. Yupo juu....ndo utafaut wa rais wa TL na lowasa.....ebu onyesha wapi lowasa katoa kauri ya kukonga wa tz....lowasa n chiasmatic leader.....
 
Politically lowasa hana uwezo ila economically. Yupo juu....ndo utafaut wa rais wa TL na lowasa.....ebu onyesha wapi lowasa katoa kauri ya kukonga wa tz....lowasa n chiasmatic leader.....

Na wewe hebu onyesha ni nani kajiunga chadema shauri ya Tundu Lisu? Nitajie Mbunge mmoja tu aliyewahi kupata Ubunge shauri ya Tundu Lisu, unajua Tundu Lisu alipita Ubunge kwa asilimia ngapi? Kama haujui aliponea tundu la sindano!
 
Wewe acha kunananifa ferari na bajaji mzee.... lisu ni lisu nenda mara ukaone wema alowatendea watu... kuna watu wanalia kuhusu lisu mzee wewe unaleta ulumumba yule mtu kama ni kocha ni the special one + the choosen one + tactic master + game changer
Lissu alikua Mbunge kabla ya Lowasa
Lissu kagombea Urais kaupata
Lowassa kagombea urais kaukosa
 
Kuwa Ccm Kuna uhitaji wa cheti cha Mirembe...
 
Barbarosa naomba mtazamo wako wa kisiasa usiharibu mtazamo wako wa fikra.
The hero and The Master of the Game Tundu Lissu sio mtu wa kaliba ya LOWASSA.
LOWASSA ni fortune hunter, Na Tundu Lissu ni mtetezi.

Kamwe kabatini usilinganishe kazi ya sufuria Na umma kwa sababu vyote vimo kabatini.
LOWASSA ni kama umma uswahilini, tusipopika chips hauna kazi.
Kazi ya LOWASSA ilikuwa ni siku tulipopika chips 2015, Siku ya uchaguzi Na kazi yake iliishia hapo
Leo mwamtukana BOSS na MMILIKI wa CHADEMA .... makubwa ... mshamlipa pesa yake?
 
Lowasa anabisara sana sema ameingia chama cha wahuni tusubiri ataitwa fisadi muda sio mtefu
 
Tundu Lissu ni moja ya watu wenye akili sana kuwahi kutokea Tanzania.

Uwezo wake binafsi wa kiakili, ujasiri, uthubutu ndivyo vilivyomfikisha hapo..

Lowassa hawezi kuwa jeshi la mtu mmoja hata siku moja, Lowassa bila hela is nothing... Uwezo wa kifedha na kundi la mtandano ndivyo vilivyomjenga akiwa CCM na mtandano haukumtegemea yeye bali yeye ndiye aliutegemea mtandao aende ikulu, Mtandao ulisambaratishwa na JK na mwisho wa siku ukaja kumalizikia CDM..
 
Back
Top Bottom