ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Kuna tetesi kwamba alitakiwa kuzikwa chapchap huku risala ya mazishi ikiandikwa na Ndugai, kuna tetesi pia kwamba pesa ya kuchimbia kaburi ilishalipwa tayari.Baada ya Septemba 7, 2017 wengi walitarajia hatoweza kuishi tena, Ila ikawa miujiza. Bila shaka baada ya Oktoba 28, 2020 itakuwa miujiza tena.
Tuombe Mungu tufike hiyo siku tukiwa wazima wa afya!
Lissu haongei na Mnyika, na Mbowe yupo upande wa Mnyika. Katibu Mkuu wa CHADEMA hataonekana tena kampeni hizi. Baada ya uchaguzi huu Kati ya Mnyika au Lissu lazima mmojawapo aondoke CHADEMA. Wengi humu mmejaa ushabiki Ila huko jikoni hali sio shwari. Lissu kaja kuizika CHADEMA rasmi. Yeye anajipambania hawapiganii madiwani wala wabunge wake. Mdee na Lema hawajihusishi na kampeni za Lissu. Mwenye macho haambiwi tazama.
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyoLissu haongei na Mnyika, na Mbowe yupo upande wa Mnyika. Katibu Mkuu wa CHADEMA hataonekana tena kampeni hizi. Baada ya uchaguzi huu Kati ya Mnyika au Lissu lazima mmojawapo aondoke CHADEMA. Wengi humu mmejaa ushabiki Ila huko jikoni hali sio shwari. Lissu kaja kuizika CHADEMA rasmi. Yeye anajipambania hawapiganii madiwani wala wabunge wake. Mdee na Lema hawajihusishi na kampeni za Lissu. Mwenye macho haambiwi tazama.
Atakuwa na hasira sana Ila itabidi aendelee kukaa nchini. Hawezi rudi Belgium au nchi za ulaya sababu Kuna pesa za watu mafia amekula akiwaaminisha atashinda uchaguzi huu. Kule wanaweza mmaliza. Na kuna diaspora wengi aliwachangisha,kurudi ulaya kutamkosesha amani. Ataona bora abaki humu humu ingawa itambidi akae kimya.Kwahiyo mkuu unadhani hatma yake baada ya uchaguzi ikoje?
hahaha yaan umeshikiwa akili msiba daah hahahahaha,watoto waliopatikana kwa kondom fake bana wana wenge kinyamaLissu haongei na Mnyika, na Mbowe yupo upande wa Mnyika. Katibu Mkuu wa CHADEMA hataonekana tena kampeni hizi. Baada ya uchaguzi huu Kati ya Mnyika au Lissu lazima mmojawapo aondoke CHADEMA. Wengi humu mmejaa ushabiki Ila huko jikoni hali sio shwari. Lissu kaja kuizika CHADEMA rasmi. Yeye anajipambania hawapiganii madiwani wala wabunge wake. Mdee na Lema hawajihusishi na kampeni za Lissu. Mwenye macho haambiwi tazama.
Watatangulia wao kabla yakeKuna tetesi kwamba alitakiwa kuzikwa chapchap huku risala ya mazishi ikiandikwa na Ndugai , kuna tetesi pia kwamba pesa ya kuchimbia kaburi ilishalipwa tayari
Mkuu tubet, ukimuona Mnyika kwenye kampeni za Lissu najiondoa JF. Nina uhakika na ninachokwambia. Kwani Musiba kasemaje?..hahaha yaan umeshikiwa akili msiba daah hahahahaha,watoto waliopatikana kwa kondom fake bana wana wenge kinyama
Nakupata mkuu. Kama atabaki nchini itafaa Magufuli akimpa kazi kwenye kamisheni ya madini. Anaweza kusaidia vitu viwili vitatu.Atakuwa na hasira sana Ila itabidi aendelee kukaa nchini. Hawezi rudi Belgium au nchi za ulaya sababu Kuna pesa za watu mafia amekula akiwaaminisha atashinda uchaguzi huu...
kwa taarifa yako tu wote unaowaona kwenye kapeni za uraisi ni team ambayo ilishawailishwa tume kbla ivyo haiwezekan katikati ukajiongezea watu tu ndo maana wazir mkuu kachapwa mdomo kujihusisha na kapeni za uraisi sababu sheria inamnyima ,sheria mnazichakachua wenyewe alaf hamna muda wa kuzisoma na kuzijua,ndo maana ya utopolo sasa hiiMkuu tubet, ukimuona Mnyika kwenye kampeni za Lissu najiondoa JF. Nina uhakika na ninachokwambia. Kwani Musiba kasemaje?..
Mna bongo lala kweli nyie. Hao mliowataja hawajihusishi na kampeni kivipi wakati wa uzinduzi kikanda walikuwa wote? Kuhusu kufanya peke yao kwa niaba ya Lissu mmesikia mashtaka ya Majaliwa huko Tume?Lissu haongei na Mnyika, na Mbowe yupo upande wa Mnyika. Katibu Mkuu wa CHADEMA hataonekana tena kampeni hizi. Baada ya uchaguzi huu Kati ya Mnyika au Lissu lazima mmojawapo aondoke CHADEMA. Wengi humu mmejaa ushabiki Ila huko jikoni hali sio shwari...
Baada ya uchaguzi atafanya kazi gani nyingine wakati ni Rais?Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba.
Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini juu ya hatma ya wagombea hawa baada ya uchaguzi kuisha...
kiberiti cha lissu hakina barutiMkuu habari za Msamvu , naona Lissu kapiga kiberiti kichaka panya wote wamekurupuka ! na bado mtajitokeza sana wazee kuokoa jahazi