Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Jumamosi nikipata muda nitaenda kwake tegeta kumsalimia.

Usifanye hiyo kitu kwani kwa hali hiyo nyumbani kwake kutajaa watu kwa maalfu na hawa kina Sirro watapata sababu ya kusema anafanya mikutano nyumbani kwake
 
*Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari*

Chief, habari za muda huu?

Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake, *Tegeta (Azania) jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, Oktoba 2, 2020, *saa 10.30, jioni*, kuhusu jambo la dharura na muhimu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini.

Tunatanguliza shukrani na samahani kwa wito huu wa dharura sana. Asante sana.

*Tumaini Makene*
*Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano*
*Chadema*
 
Hivi kuna ugumu gani jamaa zetu wa CCM kutamka wazi 'IMEKWISHA' na kukata roho kisiasa? Mbona hilo lingetupunguzia malumbano yasiyo sababu hadi mataifa makubwa yanatujadili?

Kwaheri ukoloni Kwaheri CCM
Mkuu agiza Hankain moja kubwa naja kulipa yan🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️
 
Dah, Lissu kweli ni kichwa ngumu aisee...yaani ametakiwa na AiJiiPii kuripoti kituo cha Polisi mkoani Kilimanjaro na kachimbwa biti zito. Halafu yeye Lissu anatia zake timu kwake Dar es Salaam 😂

Huu mtanange wa mwaka huu ni mtamu usipime...upele umempata mkunaji.
Amesema barua haijasema kosa lake
 
Back
Top Bottom