20 September 2020
Kibondo, Kigoma
Tanzania
Tundu Lissu, ampa onyo OCD Polisi wa Kibondo, CHADEMA, Kampeni 2020
Asije akaishia huko The Hague yeye mwenyewe na kamguu kake.
Ulilala hivi ukakurupuka kutafuta habari za lisuLeo hajapotea maana hata nchi hajaijua vyema
Kama hiviMwambie tutampelekea pinda reli ya kiwango kule Mpanda ...na mvimbe mpasuke
Mungu akurehemu na kukusamehe saba mara sabini...hujafa hujaumbikaAsije akaishia huko The Hague yeye mwenyewe na kamguu kake.
Tusifokeane....hujafa hujaumbika
20 .09 2020
Kibondo
Kigoma
MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE
Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo
- Idadi ya Watu kutokana na sensa ya Mwaka 2012 = 261,331
- Idadi ya Kata = 19
- Number of Villages = 50
- Idadi za Shule ya Msingi = 84
- Number Secondary Schools = 24
- Health Delivery Facilities = 45
- Idadi ya Tarafa = 3
Hotuba za Tundu Lissu na Felix Mkosamali leo tarehe 20.09.2020 mjini Kibondo, Kigoma imegusia yafuatayo :
Ilani ya CHADEMA 2020 kuhusu Uhuru , Haki na Maendeleo ya Watu . Kinyago tulichokichonga wenyewe hatushindwi kukigeuza kuni Oktoba 2020. Barabara ya Nyakanazi haijakamilika miaka 50 lakini Chato International Airport imejegwa chapchap kijijini kwake Chato.
Hivi wana Kibondo ununuzi wa ndege za bombardier na Dreamliner ni vipau-mbele vyenu ? Mwezi ujao kinyango tulicho chonga wenyewe hakiwezi kututisha, hivyo piga kura ya mbunge kwa Felix Mkosamali wa CHADEMA, udiwani wote CHADEMA na Urais kwa Tundu Lissu.
Waziri wa Fedha Philip Mpango alinyakua fedha za kujenga barabara za Kibondo mwaka 2015 na kuzipeleka katika jimbo lake huko kwao Dr. Mpango.
Polisi OCD wa Kibondo alaumiwa kwa kuwanyanyasa wananchi wa Kibondo na IGP aombwa amuondoe Kibondo. Biashara ya dagaa inafuatiliwa utafikiri ni biashara ya bangi.
Maji katika mji wa Kibondo ni tatizo kubwa sana, CHADEMA itatafuta chanzo cha kuaminika kutoka Mto Malagarasi .
Tundu Lissu ampa angalizo kali OCD wa Polisi kuwa atende haki asiwanyanyase wananchi pia asitumike kuvuruga uchaguzi wa 2020.