Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

"Wanabidii wenzangu,

Nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo. Leo hii tarehe 6 Mei 2011, Chuo Kikuu cha Bridgeport kilichopo mji wa Bridgeport, Jimbo la Connecticut nchini Marekani kimenitunuku nishani ya 'Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Chuo Kikuu cha Bridgeport' (Honorary Fellow of the International College).

Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu cheo cha Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu, ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika Tanzania na Afrika...

' Kwa Kiingereza: 'In recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in Tanzania and in Africa..."

Tuzo hii imekabidhiwa kwangu na Mkuu wa Chuo cha Kimataifa Dr. Thomas J. Ward na Rais wa Chuo Kikuu cha Bridgeport Dr. Neil Albert Salonen.

Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana Mbeya na Nyanda za Juu Kusini, hii ndio sababu ya utoro wangu.

Nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.

Wasalaam,

Tundu"

Nimetundika hiyo msg ya Mh. Tundu Lisu iliyoko "wanabidii" kwa kufurahishwa na kutambuliwa kwake kimataifaa na kujibu tashwishwi za kutokuwepo kwake kwenye maandamano ya Mbeya.

Hongera Tundu Lisu, Hongera Chadema thamani yenu inaheshimika.

Kitaeleweka tu.

HONGERA KAMANDA LISSU. Muda sio mrefu mkuu wa MAGAMBA nae utasikia katunukiwa tuzo ya heshima ya KUZURA maana alienda kuomba na kuwapigia magoti wampe phd ya mezani bila hata kuingia darasani. "Mimi naitwa Dr Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa tz" Huwa najiuliza huyu jamaa ana phd ya nini? Mi nafikiri ana phd ya kugawa rasilimali za taifa.

"Wanabidii wenzangu,

Nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo. Leo hii tarehe 6 Mei 2011, Chuo Kikuu cha Bridgeport kilichopo mji wa Bridgeport, Jimbo la Connecticut nchini Marekani kimenitunuku nishani ya 'Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Chuo Kikuu cha Bridgeport' (Honorary Fellow of the International College).

Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu cheo cha Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu, ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika Tanzania na Afrika...

' Kwa Kiingereza: 'In recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in Tanzania and in Africa..."

Tuzo hii imekabidhiwa kwangu na Mkuu wa Chuo cha Kimataifa Dr. Thomas J. Ward na Rais wa Chuo Kikuu cha Bridgeport Dr. Neil Albert Salonen.

Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana Mbeya na Nyanda za Juu Kusini, hii ndio sababu ya utoro wangu.

Nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.

Wasalaam,

Tundu"

Nimetundika hiyo msg ya Mh. Tundu Lisu iliyoko "wanabidii" kwa kufurahishwa na kutambuliwa kwake kimataifaa na kujibu tashwishwi za kutokuwepo kwake kwenye maandamano ya Mbeya.

Hongera Tundu Lisu, Hongera Chadema thamani yenu inaheshimika.

Kitaeleweka tu.
You are our Hugo Chavez of Tz. God bless your tireless offorts for the best of mankind And that of CHADEMA
 
Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lisu! Bidii yako katika kutetea haki na Demokrasia safi Tanzania ndiyo matokeo ya kutunukiwa. Naomba ufahamu kazi unayofanya ni kazi ya Mungu, na Mungu ameuona mchango wako. Endelea na bidii hiyo naye Mungu atakubariki.
 
Tundu ukimwangalia kwa macho ya kawaida utadhani sio yeye. Naomba mwenye ile picha yake ya kule Tarime aliyokuwa amechaniwa shati lake na Polisi aiweke hapa.
Jamaa ni lipambanaji la ukweli hasa.
 
Hongera zako mwaya wazungu wanakutambua. Teh teh teh sasa makinda,ndugai na magamba watakutii bila shuruti.
 
HAHAHAHAH,
attachment.php
 
Back
Top Bottom