Duh! Dogo tena umejuaje kama mo dogo. Huyo lisu mwenyewe mdogo kwangu na tunatoka sehemu moja kijiji kimojaDogo umepanic. Hii nchi yetu wote. Vyovyote itakavyokua wana haki ya kufanya mahafali na kuhutubiwa na yeyote wamtakae hata kama wewe na wenzio inawauma . Jamaa kakuzidi labda wewe umemzidi umaskini wako wa kifkra. Ova