Tundu Lissu atalihutubia taifa kupitia mahafali ya CHASO mkoa wa Dodoma kesho

ujinga gani Huu? Mmeshindwa kuandaa mjadala Wa kisomi?? Eti kupitia maafali ya chaso...yaani Taifa linahutubiwa kihovyohovyo hivi? Ikosiku tutahutubiwa kupitia mahafali ya chekechea!! Acheni utoto
Mbona nyie ccm mnahutubia kupitia wazee wa daresalam sisi hatusemi.mbona mna wivu sana.?
 
YAN TUMEFIKIA MAHALI TAIFA LINAHUTUBIWA KWENYE MAHAFALI????
Kwa hiyo ni mkutano wa kisiasa? I am very sorry for these youths. The fellow is a conmsn but he knows what he is doing, but they don't. Lissu has risen to the level of utter stupidity, like a scholar who has done deep studies in specific specialisms: he knows more and more, about less and less, until he now knows everything about nothing. Anawaharibia watoto wenu na sitashangaa kama masisiemu yatamfutia kikao sababu za kiintelijinsiya.
WM
 
Anahutubua taifa kama nani.... Huyu naye kuna wakati hajitambui Ila kwa kuwa tulishajiaminisha ni msomi mwenye hoja hatuoni tatizo..
 
Kwa hiyo ni mkutano wa kisiasa? I am very sorry for these youths. The fellow is a conmsn but he knows what he is doing, but they don't. Lissu has risen to the level of utter stupidity, like a scholar who has done deep studies in specific specialisms: he knows more and more, about less and less, until he now knows everything about nothing. Anawaharibia watoto wenu na sitashangaa kama masisiemu yatamfutia kikao sababu za kiintelijinsiya.
WM
Mmmmh mkuu

ONLY GOD CAN
 
RPC wa Dodoma atamzuia, kwa jinsi serikali inavyo mwogopa Lissu hawezi kupewa nafasi hiyo.
 
RPC wa Dodoma atamzuia, kwa jinsi serikali inavyo mwogopa Lissu hawezi kupewa nafasi hiyo.
 
Tundu Lissu anahangaika sana kutafuta attention baada ya mipango yake ya kulihujumu taifa kwa njia ya kushirikiana na ACACIA kufa kibudu
 
Na: CHADEMA STUDENT'S ORGANIZATION- DODOMA (CHASO)

CHASO mkoa wa dodoma inatarajia kufanya mahafali yake ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya mkoa wa Dodoma Tarehe 16/06/ 2017 (Ijumaa) ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Tundu lissu (mwanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo- CHADEMA) Na Rais wa TLS.

katika mahafali hayo Mh. Tundu Lissu anatarajiwa kuongozana na mwenyekiti wa Kanda ya kati Mh. Alphonce Mbassa kuongea na wasomi wote wanachama na wapenzi wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kupitia mahafali hayo Mh. Tundu lissu anatarajiwa kulihutubia taifa na kujibu hoja zote za maswala ya raslmali za nchi na mikataba ya raslmali za nchi na mikataba ya kisheria inavyo liangusha na kulifanya taifa kuwa maskini.

Mada aliopewa na wasomi wa vyuo vikuu kuifafanua kisomi ni

"Mchango wa wasomi katika kusimamia, kukosoa na kupendekeza usimamizi na matumizi mazuri ya rasilimali za taifa"

kupitia mada Tajwa Mh. Tundu lissu atajibu hoja zote za kisiasa zilizotolewa na zinazo endelea kutengenezwa na makundi mbali mbali za kijamii za upotoshaji wa uhalisia wa mikataba ya raslimali za Taifa.

Afisa habari CHASO mkoa wa Dodoma Amethibitisha kuwa mahafali yatakuwa Live (Mubashara) kupitia mitandao yote ya kijamii ya CHADEMA.

Nae mjumbe wa kamati maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Dodoma amethibitisha kuwa maandalizi yote ya mahafali ya kisomi na kihistoria yamekamilika na kilichobaki kwa sasa ni mahafali kufanyika.

Mratibu wa CHASO mkoa wa Dodoma amethibitisha kupata kibali cha Jeshi la polisi wilaya ya Dodoma kupitia kwa OCD-DODOMA MJINI. Hivyo kuwataka wasomi wasomi wote kushiriki kwa nguvu na ummoja wao kushiriki na kupata maalifa ya uchambuzi wa kisomi usio egemea upande wowote.


UKUMBI: AFRICAN DREAMS
TAREHE: 16/06/2017
SIKU: IJUMAA
MUDA: Saa 5 asubuhi mpaka saa 11:30 jioni

Imetolewa na Idara ya Habari
CHASO MKOA WA DODOMA


ATAHUTUBIA CHADEMA SIO TAIFA
 
Back
Top Bottom