Tundu Lissu atalihutubia taifa kupitia mahafali ya CHASO mkoa wa Dodoma kesho

Dogo umepanic. Hii nchi yetu wote. Vyovyote itakavyokua wana haki ya kufanya mahafali na kuhutubiwa na yeyote wamtakae hata kama wewe na wenzio inawauma . Jamaa kakuzidi labda wewe umemzidi umaskini wako wa kifkra. Ova
Duh! Dogo tena umejuaje kama mo dogo. Huyo lisu mwenyewe mdogo kwangu na tunatoka sehemu moja kijiji kimoja
 
YAN TUMEFIKIA MAHALI TAIFA LINAHUTUBIWA KWENYE MAHAFALI????
Hakuna namna mkuu si umewazuia mikutano ya vyama vya siasa sasa ukipata fulsa kama hiyo unashusha nondo za kutosha hakuna njia nyingine maana wao ni wababe sana,wana nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama wana kila kitu kandamizi.
 
Nasikia harufu ya kukataliwa kwa mahafali hayo au kupewa masharti ya kufanyika bila Lissu. Ngoja tusubiri.

Nimevunjwa moyo Mzee pamoja na kufoka kote kule jana kawakaribisha na kunywa juisi na wezi.
 
Hili bango lako lishaharibu maudhui na maana halisi mliyoombea kibali.
 
JPM aruhusu sasa vyama vya siasa vifanye mikutano yao ya hadhara, duuuu!!!!
 
Kuna mtu amepata TAMKO RASMI la CHADEMA kuhusu hii saga ya Acacia na Barrick? Lissu anasema lwake, Lowassa anasema vingine. Nini msimamo wa Chama na ni nani anastahili kutoa hilo tamko? Inawezekana watu wengi hawasomi kitu kinachoondelea ndani ya CHADEMA,tusibiri wakati wa uchaguzi wa kumpata mwenyekiti ndio watu wataelewa ni kwanini Lissu anashinda kwenye vyombo vya habari.
 
Hawatomkubalia kuongea sio kwa nchi hii ya chuki, lazma defender zipelekwe hapo
 
Back
Top Bottom