Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

.
Kwani mh Zitto Kabwe ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya nishati na madini?
.
 
Asante kwa kutuwekea majina wazi nadhani spika atalazimika kuliomba bunge lake tukufu kuwavua ubunge hawa mafisadi na wafilisi mali zao maana wameliabisha bunge.siujui tutaponea wapi huyu mdudu mchwa kila sehemu yupo serikalini, mahakamani, polisi, na hadi bungeni.Mungu tuhurumie maovu ya mezidi
 
Kama ZITTO alichukua mlungula na mtu anaushahidi au tu taarifa alizosikia kutoka chanzo cha uhakika semeni tu msiogope.hata sisi tuna hamu ya kuja ukweli juu ya hilo ila kutaja wakati hakuna taarifa rasmi si vema,na kama vipi mnaona Lissu kafanya upendeleo mwambieni Mwigulu aitishe press conference amtaje Zitto,au Ole sendeka mwambieni amtaje ZZK.kama hakuna basi tutumie nafasi hii kuupongeza ujasiri wa Lissu kuwataja hao wana CCM wala rushwa
 
heeeeee,kwani lazima amtaje zitto hata kama hayumo??after all spika kiloboto ndiye alipaswa ataje.lakini zito kama yuomo atatajwa tu,na kama hayumo hatatajwa.

hahahahaha thts funny kwakwel.,...bi kiroboto nomaa
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

Hajamtaja zitto kwa vile hana ushahidi unaoonyesha kuwa alichukuwa mulungula.
 
Sasa kama Maswi alishamtaja Zitto, ulitaka Lissu amtaje tena wa nini?
Iko wazi tu kwamba, Lissu amewataja wale ambao hawakutajwa na Maswi!
Hata huko kuwataja tu hao sio jambo dogo, na tunapaswa kumpongeza Lissu kwa hatua hiyo sio kuleta porojo zisizo na mashiko kwenye jukwaa....
Tuambie kuna Mbunge gani mwingine aliyewahi kuwataja Wabunge wala rushwa, ukiondoa Kafulila alipowataja akina Zambi?
Hongera sana Lissu kwa hatua hiyo, tunaamini Wabunge wengine wenye ujasiri kama wewe watafuatia!

ya absolty ryt
 
Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.
Iyo ni listi yake ya wabunge wala rushwa. Kafanya homework.
Gamba lingine pia ataje listi yake amuweke Zitto.
 
Sasa at last tunaanza kuzungumza hoja! Majina yako hadharani! Tundu Lissu keshamaliza, kazi kwa waliotajwa kututhibitishia beyond reasonable doubt kwamba wako safi!! Msimhofie ZZK. Maadam Maswi kamtaja,Jukwaa la kujisafisha analo. akishindwa sheria ni msumeno!
 
Mkuu Mwita Maranya hata mimi nawaza kama wewe. Tatizo la kushambuliwa kwa Zitto naona ni yeye kuhoji kwanini Katibu Mkuu alikiuka taratibu kuwapatia PUMA kwa kisingizio cha maslahi ya Taifa. Watu wamesahau kwamba Lowasa aliponzwa na jambo kama hili. Kwangu mimi upande wa Wizara naweza nikawa na imani na waziri siyo katibu mkuu!

Jamani tusiwe na "double standards", sasa haya ya kina Maswi si ndo yale yale ya Richmonduli, sasa watu wakioji mnawaita wala mlungula. Tuwatendee haki wote, au wale ndo kinabangusilo?. ilikuwaje Eddo akasurubiwa mjengoni afu awa wameachwa.
 
Nasir mbunge wa korogwe ndiye maji marefu??

Hapana. Maji Marefu, yule mganga wa kienyeji, ni mkristo kwa jina la Stephen Ngonyani na ni mbunge wa Korogwe Vijijini. Huyu Nasir ni mwislamu na ni wa Korogwe Mjini.
 
Sasa lisu naye asiishie kuwataja tu apeleke ushaidi kwenye tume ya maadili hawa jamaa wanyongwe adharani na iwe somo.
 
Aliyekwambia kuwa Zitto ni mla rushwa ni nani? Kesho Zitto anaongea na waandishi wa habari, jiandae kusikia atakachosema. Na usilazimishe unachofikiria wewe kiwe ndio anachofikiria kamanda Lissu.
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

wewe mwenyewe hukusikia vizuri amemtaja pia vicky kamata yule shemeji yetu na kasema pia kuna mgongano wa mambo kuhusu vicky kamata ambayo hawezi kuyataja; kuhusu swala la zitto kabwe mimi binafsi naamini kabisa kuwa CDM hawakurupuki itajulikana tu...tuwe na subira..
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

Nimemsikia Lissu akiwataja wabunge wenye maslahi na Tanesco. Katika orodha ile kuna washauri wa makampuni yenye zabuni na Tanesco, kuna wabunge wenye vituo vya mafuta ambao nadhani wamo kwenye kamati ya nishati na madini.

Lissu hakumtaja Zitto pengine Zitto hamiliki kituo cha mafuta, hatoi ushauri wa kitaalamu kwa makampuni kama aggreko au pengine hana kampuni inayosupply matairi Tanesco.

Nisahihishwe kama nitakuwa nimekosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom