Chadema tutaikumbuka kwa juhudi binafsi za wabunge hasa Dr Slaa, Zitto, Tundu Lissu na JJ Mnyika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,852
141,786
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge.

Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini.

Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku.

Ahsanteni!
 
Ngoja tumalize kusherehekea ndio ndio tuingie jukwaani.
smokey.gif
 
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge. Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini. Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku. Ahsanteni!
Asante ya nini Sasa na umeandika rubbish? Eti unamalizia kwa kusema “Asanteni”, wabongo kwa unafiki hatujambo.

“Mtaikumbuka”, ina maana kwenye akili yako mumeshaiuwa na sherehe mmeshafanya?!
 
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge. Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini. Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku. Ahsanteni!
Mkuu kumbuka hao unaowataja wote waliimarisha chama kwa sababu Walipata nafasi ya kufanya siasa... Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu wote walifanya siasa kila mahali..unamkumbuka Dr. Slaa na mikutano ya hadhara ya Mwembeyanga,CCM Kirumba na kote nchini na operation Sangara? Unawakumbuka kina Slaa, Zitto na Mnyika waliokua wanasimamisha nchi Bungeni tukiona Live bunge likiiisimamia serikali? Sasa hivi hivyo vitu utaona wapi zaidi ya ununuzi wa binadamu kama nyanya? Tumebaki kupata madini kidogo kwa Zitto kupitia twitter tu, kama hauko twitter au watsaap ambako unaweza kuambulia viscreenshot utamsoma wapi Zitto? Hata TV siku hizi tunatakiwa tuangalie TBC tu! Sasa hivi anayeruhusiwa kufanya siasa ni mtu mmoja tu na vijana wake. Wengine polisi, mahakama na mahabusu inawahusu kila siku....

Wapinzani wa awamu hii wanajitahidi mno? lugha sahihi ni Kwamba wanajitolea maisha yao... Mimi nawaombea mungu awape moyo wa uvumilivu tu
 
Ili chama kifutike lazima kiwe na uhaba wa rasilimali watu jambo ambalo sijui umepimaje kwa Chadema ambacho rasilimali watu siyo tatizo!

Kama unapima uimara wa Chadema kwenye chaguzi hizi za kihuni zinazoendeshwa kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi basi utakuwa una tatizo la ufahamu au mahaba na ushabiki ndio unakufanya ufikie hitisho kama hilo

Chaguzi ambazo mwananchi siyo mwenye maamuzi kwenye sanduku la kura utakujaje na hitimisho la kijinga kama hilo
 
Mkuu kumbuka hao unaowataja wote waliimarisha chama kwa sababu Walipata nafasi ya kufanya siasa... Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu wote walifanya siasa kila mahali..unamkumbuka Slaa na Mikutano ya hadhara ya Mwembeyanga,CCM Kirumba na kote nchini na operation Sangara? Unawakumbuka kina Slaa, Zitto na Mnyika waliokua wanasimamisha nchi Bungeni tukiona Live? Sasa hivi hivyo vitu utaona wapi? Tumebaki kupata mdini kidogo kwa Zitto kupitia twitter tu hata TV siku hizi tunatakiwa tuangalie TBC tu! Sasa hivi anayeruhusiwa kufanya siasa ni mtu mmoja tu na vijana wake wengine polisi, mahakama na mahabusu inawahusu....

Wapinzani wa awamu hii wanajitahidi mno? lugha sahihi ni Kwamba wanajitolea maisha yao... Mimi nawaombea mungu awape moyo wa uvumilivu tu
Well said mkuu
 
Hamuoni nguvu za CDM kwakuwa siasa zinafanywa upande mmoja...

Hauoni nguvu ya CDM kwakuwa bunge haliko huru na zaid haliko live...

Hao uliowataja ulipata kuuona umashuhuri wao bunge likiwa live na siasa kwa uapnde wote, hata ivyo uliwaona ukiwa umechelea...

CDM waliwaona na kufanya usajili hata ww bado ujajua siasa
 
Mkuu kumbuka hao unaowataja wote waliimarisha chama kwa sababu Walipata nafasi ya kufanya siasa... Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu wote walifanya siasa kila mahali..unamkumbuka Dr. Slaa na mikutano ya hadhara ya Mwembeyanga,CCM Kirumba na kote nchini na operation Sangara? Unawakumbuka kina Slaa, Zitto na Mnyika waliokua wanasimamisha nchi Bungeni tukiona Live bunge likiiisimamia serikali? Sasa hivi hivyo vitu utaona wapi zaidi ya ununuzi wa binadamu kama nyanya? Tumebaki kupata madini kidogo kwa Zitto kupitia twitter tu, kama hauko twitter au watsaap ambako unaweza kuambulia viscreenshot utamsoma wapi Zitto? Hata TV siku hizi tunatakiwa tuangalie TBC tu! Sasa hivi anayeruhusiwa kufanya siasa ni mtu mmoja tu na vijana wake. Wengine polisi, mahakama na mahabusu inawahusu kila siku....

Wapinzani wa awamu hii wanajitahidi mno? lugha sahihi ni Kwamba wanajitolea maisha yao... Mimi nawaombea mungu awape moyo wa uvumilivu tu
Unadhani 2020 Chadema itapata hata diwani mmoja?!
 
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge. Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini. Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku. Ahsanteni!
Kwa matendo ya CCM na serikali yake, CCM ni terrorist organisation sawa na Muslim Brotherhood!
Msomi mmoja aliwahi kusema hivi alipokuwa akijaribu kutafuta definition ya terrorism: A suitable universal definition of terrorism remains elusive because different bodies, organisations and government agencies have different definitions to suit their own particular role, purpose or bias.
Kwa mimi CCM ni terrorist organisation!
 
Mkuu kumbuka hao unaowataja wote waliimarisha chama kwa sababu Walipata nafasi ya kufanya siasa... Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu wote walifanya siasa kila mahali..unamkumbuka Dr. Slaa na mikutano ya hadhara ya Mwembeyanga,CCM Kirumba na kote nchini na operation Sangara? Unawakumbuka kina Slaa, Zitto na Mnyika waliokua wanasimamisha nchi Bungeni tukiona Live bunge likiiisimamia serikali? Sasa hivi hivyo vitu utaona wapi zaidi ya ununuzi wa binadamu kama nyanya? Tumebaki kupata madini kidogo kwa Zitto kupitia twitter tu, kama hauko twitter au watsaap ambako unaweza kuambulia viscreenshot utamsoma wapi Zitto? Hata TV siku hizi tunatakiwa tuangalie TBC tu! Sasa hivi anayeruhusiwa kufanya siasa ni mtu mmoja tu na vijana wake. Wengine polisi, mahakama na mahabusu inawahusu kila siku....

Wapinzani wa awamu hii wanajitahidi mno? lugha sahihi ni Kwamba wanajitolea maisha yao... Mimi nawaombea mungu awape moyo wa uvumilivu tu
Umemjibu vizuri sana mkuu
 
Hamuoni nguvu za CDM kwakuwa siasa zinafanywa upande mmoja...

Hauoni nguvu ya CDM kwakuwa bunge haliko huru na zaid haliko live...

Hao uliowataja ulipata kuuona umashuhuri wao bunge likiwa live na siasa kwa uapnde wote, hata ivyo uliwaona ukiwa umechelea...

CDM waliwaona na kufanya usajili hata ww bado ujajua siasa
Kwa taarifa yako kadi ya Chadema nilikabidhiwa pale Kisutu mtaa wa majamati kwenye ofisi za mzee Ndesamburo rip yalipokuwa HQ za Chadema. Kwani Lissukazungumzia makinikia bunge likiwa live?!!!!......bwashee usinywe mbege bila kisusio!
 
Ili chama kifutike lazima kiwe na uhaba wa rasilimali watu jambo ambalo sijui umepimaje kwa Chadema ambacho rasilimali watu siyo tatizo!

Kama unapima uimara wa Chadema kwenye chaguzi hizi za kihuni zinazoendeshwa kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi basi utakuwa una tatizo la ufahamu au mahaba na ushabiki ndio unakufanya ufikie hitisho kama hilo

Chaguzi ambazo mwananchi siyo mwenye maamuzi kwenye sanduku la kura utakujaje na hitimisho la kijinga kama hilo
Ulitaka wapewe nafasi wafanye siasa zipi? wazunguke kutueleza kwamb tuliwanukuu vibaya Lowassa sio fisadi? watueleze kwamba hawakuwahi kutueleza wangeffua shirika la ndege la serikali? wazunguke watuelee kwamba awakuwahi utuahidi kutujengea reli ya kisasa ya kati? haya ni baadhi ya mambo ambayo yaliwafanya watanzaniawawe na imani nao, yote leo yanafanyika wanabedha na kudhihaki mtanzania gani aliye timamu atawaelewa? na wafe tu.
 
Under dictatorship, full swing dictatorship as it is now, itakuwa vigumu!
Uzoefu unaonyesha hats TLP, UDP na hata Nccr vilipokosa uwakilishi vilikufa ganzi na hatimaye kupotea, unafikiri Chadema haitaishiwa pumzi kwa kukosa hata diwani mmoja!
 
Back
Top Bottom