Kungekuwa kuna anaeweza kulianzisha kwa urahisi zaidi kuliko yeye kulianzisha lingesha anzishwa.
Wewe umeliona, wewe umelitolea wazo, WEWE anzisha!
Learn to take initiative, unasemaje anataka “collabo” wakati hajasema tuanzishe, kasema “anzisheni”!
“Ikiwezekana anzisheni,” unataka nani aanzishe, Maxence Melo wa JF au Halima Mdee na Mchungaji Msigwa wa CHADEMA ?
Hawako Marekani hao tuliozoea wanalianzisha in behalf of everybody else all the time, nyinyi ndio mko huko karibu nae na karibu na ma exposure ya teknohama, ongeeni nae. Be responsible for once.