Tundu Lissu App

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,715
2,000
Ongeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.

Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.

Mheshimiwa tuko na wewe.
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147

Kwa hiyo functions za hiyo app ni nini? Au maalum kwa michango?
Hii kali.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Ongeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.

Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.

Mheshimiwa tuko na wewe.
Tunawasiliana na family yake yote hayo yanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
itakua nzuri mdada,tena atakua anaweka updates,watu wana comment,...updates sio lazima iwe kwa afya yake tu bali na msimamo yake juu ya yanayoendelea nchini
Kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi atakuwa amaweka hizo updates?
Hapa atapata watu wachache sana. Aendelee tu kutumia mitandao mingine ya kijamii kuhamasisha michango, wazo zuri but VOID.
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,459
2,000
Kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi atakuwa amaweka hizo updates?
Hapa atapata watu wachache sana. Aendelee tu kutumia mitandao mingine ya kijamii kuhamasisha michango, wazo zuri but VOID.
Michango ni transition tu,sidhani kama ataomba michango milele,App ni kuonyesha Lissu na Ukawa wanafanya nini na wana malengo/mikakati gani..offer alternatives ya vitu vinavyofanywa na serikali hii,akipata Mange au mtu yeyote mhamasishaji INITIALLY,then akaiweka vizuri hio App...mie naona itafanya kazi.
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
12,869
2,000
...Kabisaaa, tupo na Lissu.

...Aliye kinyume naye ni mchawi mkubwa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
The main purpose of the app ni michango.
Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,715
2,000
Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?
I have suggested others opinions on my first post mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom