Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,825
- 5,295
Ila alichotufanyia ni unyama asee, yani yeye anataka kuiua TZ yote na yeye mwenyewe na kizazi chake wakiwemo!!!!Mungu hawezi kumuacha mja wake, ila adhabu ya muuaji ni moto wa milele
Mi mwenyewe mgeni hapa!!! Nina ndg na jamaa na maskini kibao wa kuchangiap
HujalazimishwaMi mwenyewe mgeni hapa!!! Nina ndg na jamaa na maskini kibao wa kuchangiap
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.
Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.
Mheshimiwa tuko na wewe.
Hajarudi nyumbani TZ akadhindwa kuidhi.
Ongeeni na Tundu Lissu
wangeshafanya hivyo muda sanaAgo on kutoka juu haliwazuii wa Tanzani wanaoishi Afrika ya Kusini, Phllipines, Belgiam na kwingineko
Jizungumzie mwenyewe na umaskini wako wa mali, akili na utu! Sema, "nitafute na siyo tutafut" kwani hakuna aliyekutuma umsemee!
Mkuu hujui kuna kitu kinaitwa kupitia kwa... Unafikir ni kwa nn mtu anataka ujumbe wake uwende kwa furani lakini ukapitia kwa.. fulani kwanza.Kwa nini wewe usiongee nae?
Unamtupia nani mzigo wa ku take initiative?
Ikiwezekana ianzishwe, ianzishwe na nani?
Wazo lako wewe halafu sisi ndio tuongee nae?
Be responsible, for the love of God.
Huyu mtu anatibiwa au ameamua kuzurura kujitafutia kiki ya dunia?busara ingekuwa amalize tiba yake, arudi nyumbani watu wampe pole zake, asaidie pia polisi kutoa ushahidi wake, halafu ajipange sasa rasmi na Chama chake na wampe agenda ya kuzungumza akiwa huko. Huo ungekuwa in utratibu mzuri kuliko anvyo Fanya sasaOngeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.
Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.
Mheshimiwa tuko na wewe.
uchunguzi umebaini kwamba angalau kila familia moja vijijini ina smartphone 2Ongeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.
Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.
Mheshimiwa tuko na wewe.