SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Tundu Lisu mnafiki mbona hajaweka mchango wa Maalim Seif sahariff hamad kwenye kung`olewa kwa Jumbe?.Naona anaruka ruka tu hakuna mahali anamtaja seif shariff hamad kwa kuwa anaye UKAWA anafikiri watu hawajui historia?
Yeye kaweka mchango wa Marehemu Jumbe na wewe weka wa Maalim Seif, usiwe unakurupuka tu kuleta lawama sisizokuwa na mashiko