PreGE2025 Tundu Lissu ana kesi ya kujibu. Kila aliyemsikiliza analiona kosa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.

Wengine walifika kusema Lissu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.

Pia soma > Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Nahisi kwa upande wangu, inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Rais Samia yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.

Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.

Na kwa vile nchi nyingi za Afrika zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.

Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
 
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja ,ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.

Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.

Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.

Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.
Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Ndugu umejilipua hasa kuandika uzi kama huu hapa JF wakati 99.9% ni wafuasi wa Chadema na wapenzi wa Lissu Lia lia. Ingawa kuna Ukweli katika andiko lako
 
Tukiukataa ukwelu hatumsaidii ,ndio tutazidi kumuangamiza ,ni lazima jamii na wafuasi wauukubali ukweli kuwa aliyotamka hayaitakii mema Tanzania ,kwa alivyotamka Lisu haikupaswa ,tuseme ana mipango basi angejitokeza baada ya mipango ndio tunavyosikia huko majuu , Ni lazima CHADEMA wakubali ,kutafuta kumtetea ni kumuangamiza mwenzao na ndio ukaona kuna CDM wapo kimya wanatafuta nyia za kuwatongoza CCM ili mwenzao atoke.
 
Baba wa Taifa aliwahi kutoa hii tahadhari...

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa",

"Tunataka vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania"

"Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"
 
Tukiukataa ukwelu hatumsaidii ,ndio tutazidi kumuangamiza ,ni lazima jamii na wafuasi wauukubali ukweli kuwa aliyotamka hayaitakii mema Tanzania ,kwa alivyotamka Lisu haikupaswa ,tuseme ana mipango basi angejitokeza baada ya mipango ndio tunavyosikia huko majuu , Ni lazima CHADEMA wakubali ,kutafuta kumtetea ni kumuangamiza mwenzao na ndio ukaona kuna CDM wapo kimya wanatafuta nyia za kuwatongoza CCM ili mwenzao atoke.

Kumbe ccm ndio iliyomweka jela?. Unaelewa unachokiongea.
 
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.

Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.

Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.

Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.

Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.

Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Huna kazi ya kufanya.Uliwahoji watu zaidi ya mia kama nani sasa?
 
Kwa mtazamo na matamanio ya Lumumba Buku7 (LB7000), definitely kila CCM jinga kama wewe aliliona kosa la hicho kinachoitwa "uhaini" ktk maneno ya mwamba TL...

By the way, hivi wakati mlipotumia mbinu hii dhidi ya Freeman Mbowe kwenye mlichokiita "kesi ya ugaidi ya Mbowe" ulihoji wangapi na kusema wameona ugaidi wa Mbowe? Huo ugaidi mliouona hivi ulitowekea wapi kweli bwashee..?
 
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.

Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.

Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.

Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.

Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.

Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Nadhani hata Wewe hujui tofauti ya Uasi na Uhaini, Ngoja waje wanasheria.
 
Tukiukataa ukwelu hatumsaidii ,ndio tutazidi kumuangamiza ,ni lazima jamii na wafuasi wauukubali ukweli kuwa aliyotamka hayaitakii mema Tanzania ,kwa alivyotamka Lisu haikupaswa ,tuseme ana mipango basi angejitokeza baada ya mipango ndio tunavyosikia huko majuu , Ni lazima CHADEMA wakubali ,kutafuta kumtetea ni kumuangamiza mwenzao na ndio ukaona kuna CDM wapo kimya wanatafuta nyia za kuwatongoza CCM ili mwenzao atoke.
Wagonjwa wa Akili mpo wengi!
 
Back
Top Bottom