MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Magamba magamba magamba tatizo si wingi wa wa watu tatizo HAMNAZO HOJA ZA KUWAELEZA wananchi WALISHACHOKA NA MATUSI YENU manake mmeyafanya kuwa ndio sera yenu. Ovyo
Mtajifariji kwa maneno matamu ila mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani@ jijengeni sana kabla CHAUMA na ADC hawajawapiku
Wananchi wa Iringa wamefaidika nini na mkutano wa chadema hapo kama sio kupotezewa muda wao wa kuzalisha mali na kukuza pato la taifa hakika nimeanza kuamini chadema wanatumiwa na mabepari kueneza ukoloni mamboleo nchini
Huyu Mchungaji kila kukicha Ni mikutano tu, sijui kazi anafanya saa ngapiWananchi wa Iringa wamefaidika nini na mkutano wa chadema hapo kama sio kupotezewa muda wao wa kuzalisha mali na kukuza pato la taifa hakika nimeanza kuamini chadema wanatumiwa na mabepari kueneza ukoloni mamboleo nchini
Tumemzoea Tundu Lisu hana Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha chorus katika hotuba zake
Naona Mchungaji Yuko Bize sana na mikutano badala ya kujishughulisha na mipango ya maendeleo. Kipindi cha kampeni kimeishapita. Wewe unapiga kampeni.
Huyu bwana namuondoa 2015,
Tumemzoea Tundu Lisu hana Jipya coz kwake yeye kutaja Jina la la Rais Kikwete nikama kiitikio cha chorus katika hotuba zake
Basi kama wewe hukumbuki tarehe za kukusanya maoni Kikwete yeye anakumbuka!Hoja ya T.L ni hii
tume imetamka dhairi katika sheria yake kuwa mda wa kukusanya maoni ni miezi kadhaa sikumbuki vzr tarehe ya mwisho
Kaambiwa na nani kivipi? Yeye anakumbuka.1-rais ... yeye kaambiwa na nani kuwa mda huo tume itakua imemaliza kazi?